Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

Utakaowakataa walengeshe kwangu
Sifa zake:
1. Asiwe mchawi.
2. Awe tayari kupima HIV.
3. Asiwe mfupi, asiwe mwembamba, awe mrefu wastani, na asiwe mnene sana. Rangi yeyote ile kasoro asiwe mweusi tii, maana mimi mwenyewe ni mrefu halafu ni mweusi.
4. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita, hata chuo kikuu.
5. Asiwe tegemezi, awe na kazi yake maana hata mimi siyo tegemezi. Kama huna kazi basi uwe mchapakazi. (Utapewa mtaji).
6. Ajue kupika, aisiyependa uchafu na awe anajua kupika kila aina ya chakula kuanzia maandazi n.k.
7. Umri kuanzia miaka 25 hadi 30, maana mimi nina miaka 34.

Amabaye yuko na uhitaji anitafute PM, niko na uhitaji, namaanisha.
1. Mimi ninaishi mikoa ya nyanda za juu Kusini,(Iringa Mbeya, Songea) ndiyo ninapofanyia kazi (nina bachelor degree.).
2. Nina mtoto mmoja (1).

NB: aliyesomea ualimu atapewa kipaumbele. (Awe ameajiriwa au amejiajiri).
 
Mke haji kwa vigezo vingi hivyo kijana.Siku utakayompata hata hutoijua.Utashangaa mpo wote tu.Kwani unataka mkalime ng'ing'i aka numbu?
 
My wetu kupika maandazi ni jambo jepesi sana

Nisaidie kumuuliza mleta mada kama mama wa mtoto wake mmoja yupo hai ama ameshatangulia(kama wao wanavyoulizaga singo maza)

Nikipata jibu nitajua kama niende piemu ama nisubiri bandiko lingine
Weye nenda pm tu.Akiwa mzima ndiyo vizuri ili upate wa kumchamba ili uchangamshe ndoa.😂😂😂😂
 
Mnatubagua waislam
Kaburi la mama mtoto lipo?
 
My wetu kupika maandazi ni jambo jepesi sana

Nisaidie kumuuliza mleta mada kama mama wa mtoto wake mmoja yupo hai ama ameshatangulia(kama wao wanavyoulizaga singo maza)

Nikipata jibu nitajua kama niende piemu ama nisubiri bandiko lingine

Atuonyeshe kaburi kabisa la sivyo ubadhilifu mkubwa
 
Back
Top Bottom