natafuta mchumba Mpemba au mwenye asili ya kiarabu

natafuta mchumba Mpemba au mwenye asili ya kiarabu

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
Awe msichana mwenye miaka 18 mpaka 27, asiwe mwembamba sana na asiwe mnee . Elimu yake form 4 na kuendelea( sio dv Zero) . Awe tayari kuajiriwa kama hana Ajira. Kama yupo PM tujuane
 
Back
Top Bottom