Natafuta mchumba mpole

Natafuta mchumba mpole

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
290
Kwa dhati kabisa natangaza nia ya kutafuta mchumba kati ya miaka 18 ma 21
Awe mpole,Mzuri,Mtaratibu,asiwe mtata mtata kama members wa JF,Ajiamini,awe na mipango na mikakati yake ya kimaisha kwa maana ya kwamba mtu mwenye kushuhulika,Mimi ni mkristo lakini ningependa sana binti wa Kiislam,Napenda sana binti akiwa katika lile vazi (hijabu),Sina nia ya Kuoa kwani Umri na Majukumu niliyonayo sasa hayaruhusu...Lakini nina mpango wa kuwa na Gal mmoja tu asiyependa vya bure bure hata kama ni kutoka kwa mpenzi....Nina nia ya dhati kabisa ya kuwa na mpenzi...Kama yupo binti mwenye nia kama yangu ajitokeze tafadhali na kuni PM...atakayenibeza kwa hili ombi langu naahidi kumtusi hapa hapa JF...wacha iniharibie CV kwa mpenzi msubiriwa...mtarajiwa
 
wewe nawe, hujui hata kudanganya kidogo, unafikiri kuna mtu atakayependa kuchakachuliwa tu??
 
hahahahahahhahahahhaahh kibomu cha kulalia😛eace:
 
wewe nawe, hujui hata kudanganya kidogo, unafikiri kuna mtu atakayependa kuchakachuliwa tu??

kudanganya ili iweje alafu ili nipate kimeo...we wacha ni search m serious we kama unawaza ufataki shauri zako
 
Kuna yule anaevunja vitu ukimdanganya ngoja tukuunganishe nae.
 
Kwa dhati kabisa natangaza nia ya kutafuta mchumba kati ya miaka 18 ma 21
Awe mpole,Mzuri,Mtaratibu,asiwe mtata mtata kama members wa JF,Ajiamini,awe na mipango na mikakati yake ya kimaisha kwa maana ya kwamba mtu mwenye kushuhulika,Mimi ni mkristo lakini ningependa sana binti wa Kiislam,Napenda sana binti akiwa katika lile vazi (hijabu),Sina nia ya Kuoa kwani Umri na Majukumu niliyonayo sasa hayaruhusu...Lakini nina mpango wa kuwa na Gal mmoja tu asiyependa vya bure bure hata kama ni kutoka kwa mpenzi....Nina nia ya dhati kabisa ya kuwa na mpenzi...Kama yupo binti mwenye nia kama yangu ajitokeze tafadhali na kuni PM...atakayenibeza kwa hili ombi langu naahidi kumtusi hapa hapa JF...wacha iniharibie CV kwa mpenzi msubiriwa...mtarajiwa

Watu wengine bwana
 
nilihisi tu haya yote yatatokea hakika kuna laana hapa mahala...inamaa hapa kubezwa ni lazima utake usitake,kwamba hiyo ndiyo namna ya kusaidiwa,hii forum ya kutafuta wachumba au ni ya uongo?,kwamba uanike shida zako za kimahusiano hapa kisha watu wakuchore weee..

Ndugu wadau tubadilike sasa jf sio sehemu ya kurelax baaada ya kuchoshwa na kazi au kukoromewa na bosi wako (labda uka refresh kwenye forum ya jokes),Nadhani ni sehemu ya watu makini wenye kuwaza kabla ya kuongea,wenye ustaarabu wa kutosha,Ingependeza mkapachukulia hapa kama kikao cha kazi tena wewe ukiwa ka subordinate kadogo tu mbele ya mameneja (respect muhimu sana)
 
tatizo hampendi kuambiwa ukwel,mnataka mdanganywe danganywe weee ndo naskia raha na kujiona mwapendwa,afu usiseme watu wengine bwana inaonekana unaniona me kama kituko vile
 
Back
Top Bottom