Natafuta mchumba muathirika

Popote ulipo nenda ktk hospital uliza ward za waathirika/wenye ukimwi watakuonyesha jichagulie mwenyewe! Au nenda tume ya kudhibiti ukimwi watakusaidia kumpata mwandani wako!
 
duh hii mpya...kwahiyo asiyeathirika ukimwi humtaki??yaani we ndo unaanza kunyanyapaa mapemaaaa hata mwezi haujafika,umeanza kuwatenga wenzako...nyie mkitengwa mnalalamika...;lol
 
Nimegundulika nina virusi vya Ukimwi baada ya kwenda kupima kwa hiyari, sina tatizo lingine la kiafya pia nina cd4 za kutosha hivyo sijaanza kutumia dozi.

Hongera kwa kujitangaza ila mii ushauri wangu ni kwamba,kama huyo mchumba ukimpata basi tulia nae kwa sana na acha kabisa yale mambo yetu ya mabinti, kula matunda kwa wingi, fanya mazoezi, do this az b4, usifikirie sana hii kitu ukimwi,coz itakumaliza,cd4 zako hazitapungua na utaishi kwa matumaini sana!!
 
duh hii mpya...kwahiyo asiyeathirika ukimwi humtaki??yaani we ndo unaanza kunyanyapaa mapemaaaa hata mwezi haujafika,umeanza kuwatenga wenzako...nyie mkitengwa mnalalamika...;lol

Kama yupo na atakubaliana na hali yangu anakaribishwa, lakini sijui kama yupo mtu wa aina hiyo. Nilikuwa na mchumba ambaye hana maambukizi sijataka kumfahamisha hali halisi nimeamua kutafuta sababu nyingine ili niachane nae na tumeshaachana. Sijawahi kukutana naye kimwili ingawa alikuwa tayari.
 
Popote ulipo nenda ktk hospital uliza ward za waathirika/wenye ukimwi watakuonyesha jichagulie mwenyewe! Au nenda tume ya kudhibiti ukimwi watakusaidia kumpata mwandani wako!

Pole sana Mkuu. Nakutakia kila la heri na mafanikio katika kumpata mwenzio

hapo kwenye RED, sijui nikupe hongera au thanks,
any way, natumaini utapata roho yako inachohitaji...ni vyema ungemtaarifu huyo aliyekuwa mpenzi wako ili awe makini siku zote, maana kama alikuwa tayari kwako, anaweza kuwa tayari kwa mwingine..
 
Popote ulipo nenda ktk hospital uliza ward za waathirika/wenye ukimwi watakuonyesha jichagulie mwenyewe! Au nenda tume ya kudhibiti ukimwi watakusaidia kumpata mwandani wako!

Sidhani kama hii ni njia na ushauri sahihi wa kufikia malengo. By the way nashukuru kwa ushauri wako.
 
Hata mimi naona itakuwa vizuri umtaarifu. Ukifanya hivyo atakushukuru sana kwa nia yako nzuri ya kumuepusha ili asiathirike. Hongera sana kwa hilo Mkuu.
 
Ingekuwa busara zaidi kama ungemfahamisha huyo mchumba ako wa mwanzo, kuliko kutoka mbio na sababu zingine, kama umeweza kuweka hii kitu hapa jamvini umeogopa nini kumwambia mchumba kwamba wewe ni muathirika??anyway kama alikuelewa its fine bt nahisi ume''break her heart indeed''.
 
Mungu ni mwaminifu daima ,naamini utapata hitaji la moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…