Nina umri wa miaka 35 natafuta mchumba ambaye ni muathirika. Mimi mwenyewe ni muathirika nimegundulika mwaka huu mwezi Feb. Kazi yangu ni mfanyabiashara.
Muathirika wa nini?
Popote ulipo nenda ktk hospital uliza ward za waathirika/wenye ukimwi watakuonyesha jichagulie mwenyewe! Au nenda tume ya kudhibiti ukimwi watakusaidia kumpata mwandani wako!
Popote ulipo nenda ktk hospital uliza ward za waathirika/wenye ukimwi watakuonyesha jichagulie mwenyewe! Au nenda tume ya kudhibiti ukimwi watakusaidia kumpata mwandani wako!
hakikisha umepima mara 3 na mwenzio hivyohivyo.nina umri wa miaka 35 natafuta mchumba ambaye ni muathirika. Mimi mwenyewe ni muathirika nimegundulika mwaka huu mwezi feb. Kazi yangu ni mfanyabiashara.
Nimegundulika nina virusi vya Ukimwi baada ya kwenda kupima kwa hiyari, sina tatizo lingine la kiafya pia nina cd4 za kutosha hivyo sijaanza kutumia dozi.
Hata wewe!!Wa mabomu ya gongolamboto ha haa haaaa!
Hv huko ghorofani kuna kitu kweli jamani?Popote ulipo nenda ktk hospital uliza ward za waathirika/wenye ukimwi watakuonyesha jichagulie mwenyewe! Au nenda tume ya kudhibiti ukimwi watakusaidia kumpata mwandani wako!
Wa mabomu ya gongolamboto ha haa haaaa!
Lakini nina swali kwa wewe mtafutaji wa mchumba mwathirika.
1. ulijuaje mchumba wako wa kwanza hajaathirika??? Je mlienda kupima pamoja au..?
kwani umedai yeye hajui wewe ni mwathirika na alikuwa tayari kufanya tendo la ndoa na wewe................ UNA UHAKIKA GANI KUWA YEYE SIO MWATHIRIKA KAMA HUJAENDA KUPIMA NAYE???
baada ya kupata jibu lako ndio nitakupa POLE yangu - otherwise nina mashaka kuwa usemalo ni kweli .......... SAMAHANI LAKINI... KWA SWALI LANGU
AULIZAYE ATAKA KUJUA.....:argue:
Nina umri wa miaka 35 natafuta mchumba ambaye ni muathirika. Mimi mwenyewe ni muathirika nimegundulika mwaka huu mwezi Feb. Kazi yangu ni mfanyabiashara.
kwanza kabisa nakupongeza kwa ujasiri wako wa kuliandika hili jamvini na kuwa wazi kwa lile unalotaka.ila umesahau kutaja jinsia yako lakini nahisi kama u mwanaume.
mimi binafsi pamoja na kuwa ni mpimaji mzuri wa afya yangu na kutokuathirika hadi sasa,sijawahi kuona kama virusi ni tatizo kwenye mapenzi ya dhati kwa waloridhiana kiundani.
nimesikitika kuona kuwa unajinyanyapaa mwenyewe kwa kudhani kwamba huwez pendwa na mtu asiyeathirika.
kama ningekuwa nakufahamu na kuwa na uhakika ya kwamba unavigezo nivitakavyo kwa mume nimkusudiaye,nakiri ningependa tukusudie katika hili na naamini tungetoa elimu kwa wengi.
mapenzi ya kweli hayajali afya,maumbile wala mazingira.uzima na kifo huja wakati wowote.
unaweza kuniPM kama utapenda kulijadili hili zaidi (na niko serious)