Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uliupataj pataje? pole sana ndugu yangu .
Popote ulipo nenda ktk hospital uliza ward za waathirika/wenye ukimwi watakuonyesha jichagulie mwenyewe! Au nenda tume ya kudhibiti ukimwi watakusaidia kumpata mwandani wako!
Kama yupo na atakubaliana na hali yangu anakaribishwa, lakini sijui kama yupo mtu wa aina hiyo. Nilikuwa na mchumba ambaye hana maambukizi sijataka kumfahamisha hali halisi nimeamua kutafuta sababu nyingine ili niachane nae na tumeshaachana. Sijawahi kukutana naye kimwili ingawa alikuwa tayari.
uliupataj pataje? pole sana ndugu yangu .
well said michelle you have my thanks.Hujafa hujaumbika....:shut-mouth:
Join Date : 16th June 2011 = Umejoin leo leo kwa jina tofauti ili uchafue hali ya hewa na kuleta zileeee, saddist attitudes. Komea huko hukoooo!Muathirika wa nini sasa? Manake uathrika uko wa namna nyingi sana uathirika wa Ndoa, uathirika wa kupenda sports au uathirika wa pombe n.k we uko kundi gani hapo? kuwa muwazi usaidiwe ndugu....mbona unauliza maswali nusu nusu?
Hongera kwa kujitangaza ila mii ushauri wangu ni kwamba,kama huyo mchumba ukimpata basi tulia nae kwa sana na acha kabisa yale mambo yetu ya mabinti, kula matunda kwa wingi, fanya mazoezi, do this az b4, usifikirie sana hii kitu ukimwi,coz itakumaliza,cd4 zako hazitapungua na utaishi kwa matumaini sana!!
Muathirika wa nini sasa? Manake uathrika uko wa namna nyingi sana uathirika wa Ndoa, uathirika wa kupenda sports au uathirika wa pombe n.k we uko kundi gani hapo? kuwa muwazi usaidiwe ndugu....mbona unauliza maswali nusu nusu?