Natafuta Mchumba/Mume

Unasifa gani za kuwa mchumba hatimaye na hatimaye mke wa mtu?Jieleze tafadhali.
 
Mabosi wa jf mtutengenezee hata kajukwaa kadogo kakutafuta wenzi wa maisha, tuko wengi tu humu mi mwenyewe natamani niolee humuhumu, eti jamani kuna 'msingle' humu ndani hapendi azae vitoto 'vigreat thinker'?
 
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45, dini yake mkristo. Aliye serious na hilo tuwasiliane.

Umefika mama
Ndo kwaanza nina 35
Ni-pm tuone tunakamilisha vp hii deal
 
Jamani subirin kuna soko kubwa litafunguliwa Tandale, wachumba mtaruhusiwa kwenda kujianika rasmi na wanaotafuta mtaenda kuangalia bidhaa hizi muhim, ila unaweza kukaa hata mwez mzima hata usiulizwe bei gani LO! Aibu
 
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45, dini yake mkristo. Aliye serious na hilo tuwasiliane.

Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

Last edited by a moderator:
Mtu makini mwenye akili timamu na fikra pevu hawezi kuleta utani katika kitu cha maana, jamani kwa ambaye hayoku tayari kuliko kuanza kuandika utani na kwenda nje ya mada mngenyamaza,mwenzenu anashida hivyo anataka aliyeko tayari wawasiliane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…