Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.

hivi ni Klorokwin au CPU??
Hahahahahahaha!Mpendwa asante kwakunipa kicheko changu cha kwanza siku hii ya leo!Najaribu kuchanya karata zangu vizuri ili nisipate garasha!
I loooove that song!:music::music::music::music::music::music:
mie huwaga sielewi kabisa hapa jf watu wanatafuta wachumba wanatuambia ila wakishapata hawarudi kutoa shukrani kwa hiyo huwa sifahamu kama wamefanikiwa au hawajafanikiwa ili na mie nitupe ndoano hapa jamvini maana sie wengine ni madomo zege
I loooove that song!
Sidhani!Wenyewe wanapenda miziki ya kizee...bongo flavor hawaiwezi!Nilijua utaupenda tu, hata mpendwa na Kloro wanaupenda pia kama sikosei
Sidhani!Wenyewe wanapenda miziki ya kizee...bongo flavor hawaiwezi!
I loooove that song!
Nilijua utaupenda tu, hata mpendwa na Kloro wanaupenda pia kama sikosei
Sidhani!Wenyewe wanapenda miziki ya kizee...bongo flavor hawaiwezi!
wewe unapenda tu, kucheza unajua??
Kwanini nisiweze?BTW embu tuache kuchakachua thread ya Amina maana tunawanyima wachumba nafasi!
wewe unapenda tu, kucheza unajua??
Kaaaazi kweli kweli!Mi napita tu...naona Lizzy anarudi kwenye mstari.. CPU ulikuwa wapi?
Kwanini nisiweze?BTW embu tuache kuchakachua thread ya Amina maana tunawanyima wachumba nafasi!
Mi napita tu...naona Lizzy anarudi kwenye mstari.. CPU ulikuwa wapi?
kazi kwenu
Anaongea huyo!Unamwogopa mpendwa au?
khaaaaaaa!Sidhani!Wenyewe wanapenda miziki ya kizee...bongo flavor hawaiwezi!
khaaaaaaa!
Mashart yako ni magumu vgezo ulivyotoa hutampata kwenye uwanja huuNaitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.
hivi alitoka nje ya mstari???:juggle: