Matango
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 535
- 118
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.
Nia ni Njema ! Jambo ni la Heri. Nakutakia Mafanikio. Na wenye Sifa nawashauri wajitokeze. Pia Amina zingatia maombi ya hao wenye upungufu wa sifa inawezekana ukafanikiwa kama utapunguza baadhi ya sifa.