Natafuta mchumba(mume)

Kila la kheri!allaah akufanyie wepesi katika hitaji lako!
 
Nina Miaka Hiyo ila sijapata kazi vp naweza pata hata Udiwani kw!ko?
natafuta mchumba atakaye kuwa mume awe afanya kazi au biashara awe na miaka 33 adi 38. awe mrefu
mimi nina miaka 31
 
natafuta mchumba atakaye kuwa mume awe afanya kazi au biashara awe na miaka 33 adi 38. awe mrefu
mimi nina miaka 31
Ungejipanga vizuri kwenye hitaji lako hata MUNGU angekupa wepesi..umekurupuka mno
Hujidadafui vya kutosha..Mara awe mrefu kama nin sasa msitimu au jini?
Afanya nin?
Msitetemeke mnapokuwa na hitaji zito na umakini kama lako..any way acha walengwa waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi. Hutaki maswala ya dini rangi wala kabila.

Mungu akutimizie
 
Huko mtaani kwenu hamna?

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Reactions: y-n
ukifikiri unaitaji mke lazima uwe kichwa cha familia umtunza mkeo kama una kazi nani ata mtunza? lakini pia kama unataka haki sawa pia sawa tu mi ntakutunza ila usije lalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…