Natafuta mchumba(mume)

Natafuta mchumba(mume)

Funga na kuomba Mungu atakupa aliye sahihi, lakini humu unaweza ukapata ila wengi huwa wanatudhihaki wadada tukitafuta mume kwa mitandao. Mwambie Mungu haja ya moyo wako naye atakujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya na ajifungie chumbani atakuja kugongewa mlango. Maana wa kwako alikuja kukugongea mlango.....[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muumbe wakwako,,,mwenye sifa zote unazohitaji..Maana wengi wao wanapungukiwa baadhi ya vigezo
 
natafuta mchumba atakaye kuwa mume awe afanya kazi au biashara awe na miaka 33 adi 38. awe mrefu nc 6
mimi nina miaka 31
awe mkristo
Huo urefu ni wa kitandani au mtaani?
 
ukifikiri unaitaji mke lazima uwe kichwa cha familia umtunza mkeo kama una kazi nani ata mtunza? lakini pia kama unataka haki sawa pia sawa tu mi ntakutunza ila usije lalamika
Ina maana mtu asiye na kazi harusiwi kuoa?
 
Back
Top Bottom