Natafuta mchumba(mume)

Yaani una miaka 31 then unaleta masherti?
 
Reactions: y-n
Funga na kuomba Mungu atakupa aliye sahihi, lakini humu unaweza ukapata ila wengi huwa wanatudhihaki wadada tukitafuta mume kwa mitandao. Mwambie Mungu haja ya moyo wako naye atakujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukisema dini kila mtu anawe kuwa na yake
 
we unafikili kwa umri uu sija wai funga? adi siku tisa bila kula Mungu amfanyii mtu kazi unafanya kazi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…