MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
pia naishi kigambon ndio nimeweka makazi yangu yakudumuNaishi kigambon Dar es salam, natafuta mchumba/ mume .
Umri wangu ni miaka 23
Urefu wa wastani
Elimu - diploma
Dini - mkristo
Sifa za mhitajika;
Awe mstaarabu , mengine ni kadri tutakavyokuwa tunaendana.