Natafuta mchumba/mume

Naishi kigambon Dar es salam, natafuta mchumba/ mume .

Umri wangu ni miaka 23
Urefu wa wastani
Elimu - diploma
Dini - mkristo

Sifa za mhitajika;

Awe mstaarabu , mengine ni kadri tutakavyokuwa tunaendana.
pia naishi kigambon ndio nimeweka makazi yangu yakudumu
 
Msiwe wepesi kuacha Namba zenu wakuuu, hivi Kwa akili kabisa Mwanamke akatafuta mume?? Siku hizi kuna umafia unaendelea mtatolewa kafara Kwa kirahisi tu kwa kutaka utelezi wa Bure!... Ni tahadhari tuu
 
Waambie ndugu zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…