Natafuta mchumba/mume

Nilikuwa namsadia tuu. Mie nasubiria tangazo lako tuu. nakwambia wala situmi PM. Nakuja huko huko Ushongo Mabaoni. LOL.
Dah! siku hiyo nadhani baba anachinja kondoo, yule mnono mnono... lol
 
Reactions: EMT
Dah! siku hiyo nadhani baba anachinja kondoo, yule mnono mnono... lol


Achana na huyo, we njoo Tanga bwana! lol

Kabisa. Najua nikija Tanga leo siondoki leo. Na ile thread ya nafikiri ya Fidel80 juu ya wanawake wa Tanga imenipa mashamsham. Mashamsham goma la Kitanga. LOL.
 


Mmmh....! Yaani kwa sifa hizo usijidanganye kumpata mtu. Kwani ww unasifa zote?
 
ukiona mwanamke anaanza kubagua wanaume kwa rangi, kipato, elimu, umbo, umri, kabila na dini, huyo hafai kuwa mke. muogope kama ukoma. mia
 
Kwa stail yako hupati muoaji sanasana watajifanya waoaji then wanakumega na kusepa maana inaonekana unatabia za kujianika uonwe.CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA.Hupati mtu.
 

Ushauri.

Mme hatafutwi kwenye mtandao, umedanganyika. Ni wazi kuwa, ukiwa chuo, umekutana na wanaume wengi sana, kama ungekuwa na nia, basi ungeambatana na mmoja.

Inaonekana una pozi, unajisikia na huna mapenzi ya kweli. Mwongo tu wewe, na mme hutopata hapa JF, ila utapata mafataki tu
 

Nipo tayari kuwa ustadhi
 
Mimi nipo tayari,ila nina swali 1,UNA BIKIRA ZOTE MBILI?If yes karibu kwangu.If No chapa mwendo!
 
Mbona mnapenda kuvunja moyo wenzenu?je nini maana ya love connect?wewe unauhakika na utakaye muoa au olewa atatokea wapi? Mbona humu JF kuna wengi tu kwa sasa hadi wamefunga ndoa?Acheni hizo
 
ohh sifa zangu hazifikii za kwako....dini siyo halafu nakunywa pombe ila si mlevi ni mnywaji
 
Nahtaj mwanaume
1.muislam,
2. mpenda maendeleo,
3 msikivu na mwenye upeo wa maisha,
4. aliye tayar kurekebshwa pale akoseapo na aliyetayar nkosoa pale nkoseapo,
5. umri kuanzia miaka 24 yan asiwe mdogo kwangu..
6. asiwe mlevi,

QUOTE]=Negembo;3006615]Mmmh....! Yaani kwa sifa hizo usijidanganye kumpata mtu. Kwani ww unasifa zote?[/QUOTE]
Kama ungekuwa wewe, ukiwachia la dini na umri mambo ambayo ni maridhiano, ungetaka mke mwenye sifa hizo?
Angalia hapo chini, kinyume cha sifa alizozitaja Hasab ni hizi:
1. Dini yoyote au hata asiwe na dini
2. mvivu asiyependa maendeleo,
3. mbishi na asiye na upeo wa maisha,
4. asiyekubali kurekebshwa pale akoseapo na asiyekuwa tayari kukosoa pale mwenzake koseapo,
5. kuanzia miaka 18 - 80
6. mlevi kupindukia

Kila mtu hueleza kile akipendacho au akitakacho. ni bora kuwa mkweli tangu mwanzo ili badaye usije kukumbana na sifa hizo hapo juu.
ukiona mwanamke anaanza kubagua wanaume kwa rangi, kipato, elimu, umbo, umri, kabila na dini, huyo hafai kuwa mke. muogope kama ukoma. mia

Ni kipi alichofanya Hasab cha kujianika hapo? Atakuwa yeye wa mwanzo kutafuta mume JF? Je wale waliotafuta hapa na kupata, walitumia njia gani?
Kwa stail yako hupati muoaji sanasana watajifanya waoaji then wanakumega na kusepa maana inaonekana unatabia za kujianika uonwe.CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA.Hupati mtu.

Haya ni matusi ya nguoni Mkuu.
Mimi nipo tayari,ila nina swali 1,UNA BIKIRA ZOTE MBILI?If yes karibu kwangu.If No chapa mwendo!

Hasab mdogo wangu, usivunjike moyo. Hapa utakutana na kila aina ya kejeli na matusi, lakini ninakuhakikishia kuwa kwa uwezo wa Mungu utapata aliye na heri na wewe kwa mujibu wa mahitaji yako, iwe hapa au pengine.
 
Duh!Mbona masharti mengi hivyo utafikiri unafanya maombi bodi ya mikopo elimu ya juu?Natania tu,Kila la kheri binti mwenyezi mungu atakujaalia inshallah!!
 
Ngoja nijaribu ila kama huna bikra.... Utamkosa potential husb.
 
Mimi ninakusaidia Mchumba unae mtaka lazimaSharti la kwanza awe Muislam wa kweli awe Mtu mwenye kuifuata Dini yaani mwenye kuswali kutwa mara 5 na mwenye tabia nzuri tu Asiye lewa wala kuvuta sigara akiwa na vitu hivyo

ndio mumeo huyo. mimi nina tabia hizo ila nipo mbali sipo hapo bongo ningelikuja kukuposa wewe je mwenzangu unaswali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…