Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
mume haitakiwi kuwa wa umri fulani au dini fulani inaonyesha wakristo au wapagani hawatatakiwa kwa huyo mumeo atachakalikia pesa vipi iwapo waleta dili ni hao? na hata ukipata tatizo labda ajali inatakiwa wakuokoe waslamu! utapata unalotafuta lakn siyo mume wajidanganya.
Yaani wewe kwenye masharti aliyotoa umeona hilo tu... angesema yeye mlokole nani ungemuuliza haya maswali?? Jamani haya ni masharti ya mume anamyemtaka yeye, sasa mnataka kumlazimisha?? Acheni hizo.....