Natafuta mchumba/mume

Natafuta mchumba/mume

mume haitakiwi kuwa wa umri fulani au dini fulani inaonyesha wakristo au wapagani hawatatakiwa kwa huyo mumeo atachakalikia pesa vipi iwapo waleta dili ni hao? na hata ukipata tatizo labda ajali inatakiwa wakuokoe waslamu! utapata unalotafuta lakn siyo mume wajidanganya.

Yaani wewe kwenye masharti aliyotoa umeona hilo tu... angesema yeye mlokole nani ungemuuliza haya maswali?? Jamani haya ni masharti ya mume anamyemtaka yeye, sasa mnataka kumlazimisha?? Acheni hizo.....
 
mimi ni msichana mwenye umr wa miaka 23 nimehtimu chuo mwaka huu,nimeona nheshma kwangu iwapo ntakua nimetulia ktk ndoa yangu kuliko kuhangaika na maisha yasasa..nahtaj mwanaume muislam,mpenda maendeleo,msikivu na mwenye upeo wa maisha,aliye tayar kurekebshwa pale akoseapo na aliyetayar nkosoa pale nkoseapo,,umri kuanzia miaka 24 yan asiwe mdogo kwangu...asiwe mlevi,...yeyote mwenye mapenz ya dhati ani pm...nipo serious sana.asanten.email yangu ni luvmy19@gmail.com plz use my email mana pm zangu nashndwa kujb naambiwa mpaka niwe nimepost mara tano.samahann kwa usumbuf


sitaki demu.
 
ilibaki kidogo nikubaliane na wewe ila kipengele cha dini tu ndo kkwazo,,,,,kame vipi badili dini....uje tule kiti moto nina sifa zote ulizozitaja....kama vip ni pm
 
Mapenzi ya kwel hayana dini wewe, jifkrie vzur kumpata akupendaye! Na hakika kuhangaika kwako mpaka kufkia hatua hyo n kwa sababu hyo hyo ya dini! Pole sana dada kwa kigezo hicho umekwama!
 
Mnyampaa vp? Why serious not? Kama hutaki demu bac ungekaa kimya kulko kurespond as t wish! Heshm mawazo ya wenzako,hii n jf of great thinkers bwana so be serious ma frnd!
 
Kwa hiyo sisi tusio na dini tukawowe wapi?
naitwa kasebele nurudini naishi tab0ra/natafuta mchumba/mke umri wake kati ya miaka 21-29,awe anamcha mungu kwa dini y0y0te ile,awe na elimu kuanzia kidat0 cha nne,anpenda kujishughulisha ili kuepukana na umaskini..mawasilian0 ni simu 0753082524
 
dada mimi pia natafuta mke kama hujapata mume tuwasiliane....
 
Back
Top Bottom