Natafuta mchumba/mume

QUOTE]=Negembo;3006615]Mmmh....! Yaani kwa sifa hizo usijidanganye kumpata mtu. Kwani ww unasifa zote?
Kama ungekuwa wewe, ukiwachia la dini na umri mambo ambayo ni maridhiano, ungetaka mke mwenye sifa hizo?
Angalia hapo chini, kinyume cha sifa alizozitaja Hasab ni hizi:
1. Dini yoyote au hata asiwe na dini
2. mvivu asiyependa maendeleo,
3. mbishi na asiye na upeo wa maisha,
4. asiyekubali kurekebshwa pale akoseapo na asiyekuwa tayari kukosoa pale mwenzake koseapo,
5. kuanzia miaka 18 - 80
6. mlevi kupindukia

Kila mtu hueleza kile akipendacho au akitakacho. ni bora kuwa mkweli tangu mwanzo ili badaye usije kukumbana na sifa hizo hapo juu.


Ni kipi alichofanya Hasab cha kujianika hapo? Atakuwa yeye wa mwanzo kutafuta mume JF? Je wale waliotafuta hapa na kupata, walitumia njia gani?


Haya ni matusi ya nguoni Mkuu.


Hasab mdogo wangu, usivunjike moyo. Hapa utakutana na kila aina ya kejeli na matusi, lakini ninakuhakikishia kuwa kwa uwezo wa Mungu utapata aliye na heri na wewe kwa mujibu wa mahitaji yako, iwe hapa au pengine.[/QUOTE]Mimi nipo je Bi Hasab atakubali uke wenza? kwa sababu mimi nina mke wangu nataka kuongeza mke mwengine muulize atakubali Mume Mwenye mke lakini tabia zangu ni nzuri na hizo sifa alizozitaja ninazo.
 

asalaam aleyka! Haya mi nimekubali, ila umri ni 39, unasemaje hajat!
 
endapo utaondoa kogezo cha dini nami natafuta mchumba nitafute faragha
 
[/QUOTE:MziziMkavu] Mimi nipo je Bi Hasab atakubali uke wenza? kwa sababu mimi nina mke wangu nataka kuongeza mke mwengine muulize atakubali Mume Mwenye mke lakini tabia zangu ni nzuri na hizo sifa alizozitaja ninazo.[/QUOTE]

Sasa Mkuu unanipa kazi ambayo sikutumwa kuifanya. Ikiwa Bi. Hasab atasema kama anataka mshenga na kunikabidhi jukumu hilo nitalifanya kwa moyo mmoja na wewe nitakuweka katika nafasi ya kwanza ya mume mtarajiwa.
 
[/QUOTE:MziziMkavu] Mimi nipo je Bi Hasab atakubali uke wenza? kwa sababu mimi nina mke wangu nataka kuongeza mke mwengine muulize atakubali Mume Mwenye mke lakini tabia zangu ni nzuri na hizo sifa alizozitaja ninazo.

Sasa Mkuu unanipa kazi ambayo sikutumwa kuifanya. Ikiwa Bi. Hasab atasema kama anataka mshenga na kunikabidhi jukumu hilo nitalifanya kwa moyo mmoja na wewe nitakuweka katika nafasi ya kwanza ya mume mtarajiwa.[/QUOTE]hahahahh kazi ipo Utakuwa wewe mshenga sawa tu sio mbaya kazi kwako.
 
Kila la kheri...wsh umpate lyc u...unaumri mdogo n 4dat beuty of urz na uchesh mungu akupe mwenye roho kama yako shoga na akuepushie mahasid...
 
Eti awe tayari kurekebishwa! akubali kukosolewa! Huyo sio mwanaume labda unatafuta ka ndondocha ka kugeuza unavyotaka! Let me tell you something girl! Mwanaume ni kichwa cha nyumba! Yeye ni kiongozi wa familia! Yeye ndiye anayetiisha ndiye anayekosoa na kurekebisha!

Sifa ya mwanamke ni hekima! Gombo langu la chuo linaniambia! Mwanamke mwenye busara huijenga nyumba yake kwa mikono yake bali yule mpumbavu huibomoa! Neno busara limetumika hapa, na wanawake msichokijua kuhusu waume zenu ni kutaka kuwatiisha, kuwakosoa, kuwarekebisha! Utasikia mke anasema huyu mpaka nimshikishe adabu yake! It will never happen! Your tearing your house down!
Mwanamke mwenye busara humwendea mmewe kwa kekima na adabu, na hata pale mme akioneka amekosea bado hutambua nafasi ya mme ndani ya nyumba na hivyo kutafuta suluhisho bila kuathiri mamlaka ya mme wake! Huyo ndio mwanamke mwenye busara!
 

mmmhh???
 
asanten wote..nmepata emails nyng sana ambao cjawajb mnsamehe.email naifunga na jf ctokuepo.thanx so much hop ma drms wl b true wth ds one..byee
 

mimi vigezo vingine vyote ninavyo na nipo katika mchakato kama huo wako tatizo kigezo 1 tu, DINI!
 

Hasab, ushapata wa kwako au bado?! Wacha nikaongee na Ustaadh Topical kule jukwaa la siasa ili nimtume rasmi! Nikikosa kumpata yeye basi nitamtafuta Ustaadh X-Pasta aje kumaliza kazi!
 
Mhh! Haya waislam na waislam wenzao,wakristu na wakristu pia na wasiofuata dini yoyote na wao vivyo hivyo.Tuone ni kina nani watakao watakao vamia kundi loisilo kuwa lao.
 

mkuu kamata tano.
Then naelekea kukibamiza kitufe cha like
 

Umesema vyema mkuu, sijui kama wenzetu wanakusoma!! Wenzetu wanafuata mkumbo, wanataka haki sawa bila kujua mipaka yao. Matatizo mengi yanatokana na hiyo hulka ya kutaka kuugeuza ukweli.
 
Mimi nipo je Bi Hasab atakubali uke wenza? kwa sababu mimi nina mke wangu nataka kuongeza mke mwengine muulize atakubali Mume Mwenye mke lakini tabia zangu ni nzuri na hizo sifa alizozitaja ninazo.[/QUOTE]
 
Mbona mnapenda kuvunja moyo wenzenu?je nini maana ya love connect?wewe unauhakika na utakaye muoa au olewa atatokea wapi? Mbona humu JF kuna wengi tu kwa sasa hadi wamefunga ndoa?Acheni hizo

Acha tu... huyu binti kwakuwa kasema yeye anataka Muislam naona mashambulizi yamekuwa mengi kwanini jamani??? Sio vizuri...
 
mume haitakiwi kuwa wa umri fulani au dini fulani inaonyesha wakristo au wapagani hawatatakiwa kwa huyo mumeo atachakalikia pesa vipi iwapo waleta dili ni hao? na hata ukipata tatizo labda ajali inatakiwa wakuokoe waslamu! utapata unalotafuta lakn siyo mume wajidanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…