Natafuta Mchumba/Mume

🀣🀣🀣🀣 Wapo engineers wanawake wazuri kabisa mbona mie sista wangu engineer na mzuri sema yeye nae miaka 34 hajaolewa
 
Ah wee unasema ndungu, mie mwenyewe sura mbaya kweli kweli alafu mbaya zaidi sasa nina kibamia
Kibamia hupimwa kwa uuwiano wa mwili wa mtu.Haiwezekani mtu kama mimi nikavaa kiatu size 35.Ntaonekana kilema au ni mkoma sina vidole.Uuwiano man!
 

Utakuja lia humu, uchanganyikiwe, achana na hao 32yrs plus na hujui background history, ukivamia tu huwa hawasemi ukweli, bora oa wa mtaani au kwenu kijijini unamjua past history toka kwa ndugu zao au ndugu zako au marafiki zako, huyu atakupa past history yake yeye tu, utamjua vipi, ukijichanganya, utajutia..

Kuoana lazima upate ukweli na kumjua mtu vema kabisa, unaweza muoa mtu, kesho mnaanza kung'oana meno na kutoboana macho, sbb ulikuwa hujamjua unamuoa nani, hivyo kuwa makini sana.

La sivyo, ingia chimbo, fanya intensive research umjue wazi wazi, kwao, ndugu zake, marafiki zake, wote wanaomjua tokea akiwa mdogo, alafu ukipata a to z yake, fanya maamuzi, kila la kheri.
 
Usimtishe.Mwache aoe tupate reference kwa vizazi vijavyo.
 
Wee bwana mie nataka mke sio kwamba nasaka phd mpaka nifanye research. Umuhimu wa mke nikupata uhakika wa mbususu basi. Mbususu za appointment zinachosha ndio maana watu tunaoa. Hamna cha ziada hapo
 
Dah!Ila yule jamaa ametuharibia sana.Mimi na mama Wegesa tulikuwa tunaishi kirafiki sana.Sasa,siku hizi nashangaa hadi naamkiwa.Kumbe naogopwa.

Wewe sasa hivi, ukiona mke wako au mchumba wako unakaa nae, alafu anakusumbua sumbua haeleweki, nunua koleo kama 4 hv weka ndani na bisibisi kama 4 pia, alafu azione, usiongee chochote, uwe unazi test test hv anaziona, ww kaa kimya, zifiche ndani, akiuliza, wewe sema zina kazi yake usijali.

Atakuwa na heshima sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…