Natafuta Mchumba/Mume

Natafuta Mchumba/Mume

32 yrs, engineer, hujaolewa, huna mtoto, hapo kuna kitu, nahisi sura labda haivutiii sanaaa, ujue wanawake wenye sura ngumuuuuu wengi huwa engineers, samahani kama itakuuma, ila ukweli ndio huo,

Alafu unaweka masharti awe na degree kwenda juu, ukute na mwanamke mwenyewe sura ngumuu, shape labda haipo, hapo kuolewa utaona instagram, TV, You Tube, FB na marafiki zako. Kila la kheri.
🤣🤣🤣🤣 Wapo engineers wanawake wazuri kabisa mbona mie sista wangu engineer na mzuri sema yeye nae miaka 34 hajaolewa
 
Afcoz mate am trying to woo her. She js a potential wife, sii umeona kwanza engineer alafu kashafanya kazi abroad, hawezi kuwa na mambo ya kingese ngese. Alafu 32 hana mtoto ina maanishi she is career oriented, sasa huyu ndio type yangu kila mtuu anapiga kazi tuu. Wacha nijaribu bahati yangu.

Utakuja lia humu, uchanganyikiwe, achana na hao 32yrs plus na hujui background history, ukivamia tu huwa hawasemi ukweli, bora oa wa mtaani au kwenu kijijini unamjua past history toka kwa ndugu zao au ndugu zako au marafiki zako, huyu atakupa past history yake yeye tu, utamjua vipi, ukijichanganya, utajutia..

Kuoana lazima upate ukweli na kumjua mtu vema kabisa, unaweza muoa mtu, kesho mnaanza kung'oana meno na kutoboana macho, sbb ulikuwa hujamjua unamuoa nani, hivyo kuwa makini sana.

La sivyo, ingia chimbo, fanya intensive research umjue wazi wazi, kwao, ndugu zake, marafiki zake, wote wanaomjua tokea akiwa mdogo, alafu ukipata a to z yake, fanya maamuzi, kila la kheri.
 
Usimtishe.Mwache aoe tupate reference kwa vizazi vijavyo.
 
Wee bwana mie nataka mke sio kwamba nasaka phd mpaka nifanye research. Umuhimu wa mke nikupata uhakika wa mbususu basi. Mbususu za appointment zinachosha ndio maana watu tunaoa. Hamna cha ziada hapo
 
Dah!Ila yule jamaa ametuharibia sana.Mimi na mama Wegesa tulikuwa tunaishi kirafiki sana.Sasa,siku hizi nashangaa hadi naamkiwa.Kumbe naogopwa.

Wewe sasa hivi, ukiona mke wako au mchumba wako unakaa nae, alafu anakusumbua sumbua haeleweki, nunua koleo kama 4 hv weka ndani na bisibisi kama 4 pia, alafu azione, usiongee chochote, uwe unazi test test hv anaziona, ww kaa kimya, zifiche ndani, akiuliza, wewe sema zina kazi yake usijali.

Atakuwa na heshima sana.
 
Back
Top Bottom