Natafuta Mchumba/Mume

Shida yote hiyo ya nini mwanawane, kwani mbususu yako peke yako yakhe?
 
Sawa injinia.πŸ˜‚
 
Wanawake wa mjini bana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mlikuwa mkitakwa mkiwa bado mabinti wabichi mkawa mnawaletea hao jamaa mashauzi..., saiv jua linazama mnajipigia promo. Wenyewe mitandaoni πŸ˜‚

Mkiwaga mnatongozwa mfanye uchunguzi kwanza! Na kama kijana anajitambua na ana vigezo wekeni mashauzi pembeni muolewe... ego zinawafanya mje kutapatapa humu baadae! Na mwanamke kuzaa akiwa 33-35+ kuna possibility kubwa ya kuzaa mtoto mwenye kasoro za kiakili na afya! (Wataalam huita Mongolia)

Kumbuka vijana wangapi uliwatosa miaka kadhaa kwa kigezo cha "SIPO TAYARI?!" & "YOU'RE NOT MY TYPE!"

Wanawake muwe mnatafakari kabla hamjatanguliza mashauzi na Ego!

Anyways! Kila la kheri!
 
The last time I checked,kwenye kikao tulijadili na kukubaliana tusiwe tunaandika ukweli sana.
 
Dah sijafikia tu huo umri na siishi Dar vingine vyote tupo Sawa. Nije mjini PM.
 
Angalia tu asije akakutanguliza mwenyewe
 
Yaani awe na umri wa 34 - 40 halafu;
Awe hajaoa,
Awe hana mtoto
Awe havuti sigara
Awe hanywi pombe
Awe anaishi DSM

We kuweza? Hivi unajuwa hapo umewataja watu watatu?
 
Yaani awe na umri wa 34 - 40 halafu;
Awe hajaoa,
Awe hana mtoto
Awe havuti sigara
Awe hanywi pombe
Awe anaishi DSM

We kuweza? Hivi unajuwa hapo umewataja watu watatu?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu tumshauri atafute kakijana ka chuo kawe kanamkunakuna na kumchuna. Amsindikize safari yake ya ubibi, otherwise nenda uswahilini kule wapo wa age hiyo tele! Waliopoteza ramani za maisha wanasubiri zali kama hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…