Natafuta Mchumba/Mume

Natafuta Mchumba/Mume

Wewe sasa hivi, ukiona mke wako au mchumba wako unakaa nae, alafu anakusumbua sumbua haeleweki, nunua koleo kama 4 hv weka ndani na bisibisi kama 4 pia, alafu azione, usiongee chochote, uwe unazi test test hv anaziona, ww kaa kimya, zifiche ndani, akiuliza, wewe sema zina kazi yake usijali.

Atakuwa na heshima sana.
Shida yote hiyo ya nini mwanawane, kwani mbususu yako peke yako yakhe?
 
Wewe sasa hivi, ukiona mke wako au mchumba wako unakaa nae, alafu anakusumbua sumbua haeleweki, nunua koleo kama 4 hv weka ndani na bisibisi kama 4 pia, alafu azione, usiongee chochote, uwe unazi test test hv anaziona, ww kaa kimya, zifiche ndani, akiuliza, wewe sema zina kazi yake usijali.

Atakuwa na heshima sana.
Sawa injinia.😂
 
Wanawake wa mjini bana 😅😅😅

Mlikuwa mkitakwa mkiwa bado mabinti wabichi mkawa mnawaletea hao jamaa mashauzi..., saiv jua linazama mnajipigia promo. Wenyewe mitandaoni 😂

Mkiwaga mnatongozwa mfanye uchunguzi kwanza! Na kama kijana anajitambua na ana vigezo wekeni mashauzi pembeni muolewe... ego zinawafanya mje kutapatapa humu baadae! Na mwanamke kuzaa akiwa 33-35+ kuna possibility kubwa ya kuzaa mtoto mwenye kasoro za kiakili na afya! (Wataalam huita Mongolia)

Kumbuka vijana wangapi uliwatosa miaka kadhaa kwa kigezo cha "SIPO TAYARI?!" & "YOU'RE NOT MY TYPE!"

Wanawake muwe mnatafakari kabla hamjatanguliza mashauzi na Ego!

Anyways! Kila la kheri!
 
Wanawake wa mjini bana 😅😅😅

Mlikuwa mkitakwa mkiwa bado mabinti wabichi mkawa mnawaletea hao jamaa mashauzi..., saiv jua linazama mnajipigia promo. Wenyewe mitandaoni 😂

Mkiwaga mnatongozwa mfanye uchunguzi kwanza! Na kama kijana anajitambua na ana vigezo wekeni mashauzi pembeni muolewe... ego zinawafanya mje kutapatapa humu baadae! Na mwanamke kuzaa akiwa 33-35+ kuna possibility kubwa ya kuzaa mtoto mwenye kasoro za kiakili na afya! (Wataalam huita Mongolia)

Kumbuka vijana wangapi uliwatosa miaka kadhaa kwa kigezo cha "SIPO TAYARI?!"

Wanawake muwe mnatafakari kabla hamjatanguliza mashauzi na Ego!

Anyways! Kila la kheri!
The last time I checked,kwenye kikao tulijadili na kukubaliana tusiwe tunaandika ukweli sana.
 
Dah sijafikia tu huo umri na siishi Dar vingine vyote tupo Sawa. Nije mjini PM.
 
Wewe sasa hivi, ukiona mke wako au mchumba wako unakaa nae, alafu anakusumbua sumbua haeleweki, nunua koleo kama 4 hv weka ndani na bisibisi kama 4 pia, alafu azione, usiongee chochote, uwe unazi test test hv anaziona, ww kaa kimya, zifiche ndani, akiuliza, wewe sema zina kazi yake usijali.

Atakuwa na heshima sana.
Angalia tu asije akakutanguliza mwenyewe
 
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].

Mbarikiwe sana
Yaani awe na umri wa 34 - 40 halafu;
Awe hajaoa,
Awe hana mtoto
Awe havuti sigara
Awe hanywi pombe
Awe anaishi DSM

We kuweza? Hivi unajuwa hapo umewataja watu watatu?
 
😂😂😂

Mkuu tumshauri atafute kakijana ka chuo kawe kanamkunakuna na kumchuna. Amsindikize safari yake ya ubibi, otherwise nenda uswahilini kule wapo wa age hiyo tele! Waliopoteza ramani za maisha wanasubiri zali kama hili
 
Back
Top Bottom