Natafuta mchumba/mume

Natafuta mchumba/mume

Status
Not open for further replies.

positivitykey

New Member
Joined
Jul 7, 2023
Posts
2
Reaction score
11
Nahitaji mume/mchumba mwenye malengo, awe Morogoro au Dodoma, awe Mkristo, awe na kazi au biashara yenye uhakika wa kipato.

Mimi ni muajiriwa - private, I'm black beauty, loving and charming + hardworking, miaka 31. Nipo Morogoro, I'm 163 tall. aliyetayari ani PM

Update:
Mungu ni mwema sana.
 
Nahitaji mume/mchumba mwenye malengo awe Morogoro au Dodoma, awe mkristo, awe na kazi au biashara yenye uhakika wa kipato.

Mimi ni muajiriwa -private , am black beauty, loving and charming +hardworking. Nipo Morogoro am 163 tall , aliyetayari Ani PM
Mbona hujaweka sifa ya u-SINGLE mother? Ili Baba-Mlezi a k.a Uncle ajipange mapema
 
Umeweka urefu 163
Hujaweka una watoto wangapi na baba zao wako wapi na kwanini wasikuoe.
Unene au tako Ni kigezo muhimu Sana kwa waoaji wa siku hizi. Unalo ?
Hujaweka wazi unataka mume wa umri gani au wewe yoyote tu?
 
Ungekubali kuwa Muislam ningekupatia ji handsome la Kiarabu lina miaka 38, linataka kuja kufanya kilimo cha biashara Tanzania.

Mkifyatua hapo mnatowa mijitoto ya kishombe kishombe, mizuri kuliko ile ya wakimbizi wa wa Msumbiji huko Morogoro.

Kama staili ya kina Abood bus, si unamuona alivyo? mama yao Mluguru kabisa.
 
Hapo umetangaza rushwa mkuu.Ili apate ndoa abadili dini!😂
 
Nahitaji mume/mchumba mwenye malengo awe Morogoro au Dodoma, awe mkristo, awe na kazi au biashara yenye uhakika wa kipato.

Mimi ni muajiriwa -private , am black beauty, loving and charming +hardworking. Nipo Morogoro am 163 tall , aliyetayari Ani PM
Una watoto wangapi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom