Natafuta mchumba/mume

Natafuta mchumba/mume

Status
Not open for further replies.
😅😅Kule twitter above 30 waliwashiwa moto jana mpaka nawaonea huruma.

Anyway una watoto wangapi?
 
Ungekubali kuwa Muislam ningekupatia ji handsome la Kiarabu lina miaka 38, linataka kuja kufanya kilimo cha biashara Tanzania.

Mkifyatua hapo mnatowa mijitoto ya kishombe kishombe, mizuri kuliko ile ya wakimbizi wa wa Msumbiji huko Morogoro.

Kama staili ya kina Abood bus, si unamuona alivyo? mama yao Mluguru kabisa.

Fanya mtoto mmoja from Arab countries [emoji3][emoji3]au inakuja midume tuh [emoji19]
 
Ungekubali kuwa Muislam ningekupatia ji handsome la Kiarabu lina miaka 38, linataka kuja kufanya kilimo cha biashara Tanzania.

Mkifyatua hapo mnatowa mijitoto ya kishombe kishombe, mizuri kuliko ile ya wakimbizi wa wa Msumbiji huko Morogoro.

Kama staili ya kina Abood bus, si unamuona alivyo? mama yao Mluguru kabisa.
Mpatie Mtoto wako bibi.
 
Ukiwa tayari nicheki nikuunge na ndugu angu..
Yeye umri: 50
Elimu : Mwalimu
Dini :Muslim..
Ukiwa serious lakini.
 
Duh so ukiingia tuu kwenye ndoa ni kutia mimba

Ndio maanake sasa mnachelewesha nini?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu ulikuwa wapi swahiba mbona adimu sana?? Au wamekuficha
 
Kama ni mpira mda huu ni dakika ya 88 na bado unashambuliwa sana! Unapigiwa nusu uwanja, weka mpira kwapani, acha masharti Ili mradi awe anapumua tuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom