Natafuta Mchumba/Mume.

Kila la kheri dada yangu, naamini utampata wa Ukweli na sio hawa wazushi wa mitaani.
 
hapoo kwenye kazi ya kueleweka ndio pananipa tabu, bado nahangaika. Vipi nijaribu?
 
Sio roho mbaya na wala tatizo sio watoto,nahofia hizo talaka zako kwani kwenye ukristu hatuna hayo mambo ya talaka pia inakuwaje uwe na talaka mbili,kwani una matatizo gani yaliyowashinda hao wawili???
Mziki!!!!!
 
pole umeshazeeka 30yrs noma ukizaa mara2 tu bibi, tafuta m2 mwenye 45yrs atakufaa
 
sawa dada pamera..nimei0na hiy0 t0pic yak0..vizuri imekuwa wakati muafaka kwangu kwani pia nami natafuta mke..kama hutajali tuwasiliane.
 

Hehe, is she supposed to read between the lines hapo kwenye nyekundu? Pamela naona jamaa mwenye watoto watatu umemkataa, mimi nina wawili, mama tofauti, ninawasiliana na mama zao mara kwa mara, sijawahi kuoa. Sifa zingine ok.
 
Hivi sisi tusio na "kazi ya kueleweka" tutamuoa nani????
 
khaaaa, niko32 yrs,

namshukuru JK KWA SHULE ZA KATA... unapata toto la 18 waliofeli. ...... chuchu sicsi clockkss
 
Siku hizi wadada wanafunguka mpaka raha,
Kila la heri mwaya mungu na akupatie wa kufanana nawe!
Wala usijali hizo coment za ajabu km ujuavo kila mtu na akili yake.
 

Aisee Pam! Bado unapokea maombi au umesitisha maana nna sifa zote na khs sigara nilishaacha
 
Ayaaaaa, dah kweli wakubwa wanafaidi.! Ningekua mkubwa ningechukua mzigo huu, aisee..
 
Duh una thamini kazi ya kueleweka umesahau kuna ukimwi wa kueleweka pia.Au hata muathirika mwenye kazi ya kueleweka unamtaka tu?
 
Hivi sisi tusio na "kazi ya kueleweka" tutamuoa nani????
Jibu ni Pamela ! Bahati mbaya hajajitambuwa, wenye kazi za kueleweka (kama Ngeleja na Malima) wanagombewa kama mpira wa kona. Mpaka afike JF, pamela atakuwa kafikisha 45yrs na mzunguko umekoma !
 
Pamela MS
yaani kwa watu wote niliowaona hivi karibuni kwa kweli unafaa kuwa mke kwanini nasema hivi ?
Unajua unachokitaka, na unadiriki (assertive)
Una roho nzuri sana (upo tayari wala hauna kinyongo cha kulea mtoto wa mtu, upo tayari kuchukua mwenye mtoto).
Goals (unaangalia future, mtu mwenye kipato ili muweze kujenga familia) ila nakushauri kwenye elimu legeza kidogo elimu does not determine failure or success ni kujituma kwa mtu tu..

Anyway you will make a man very happy..., lets hope utakayempata na yeye aku-treat the way you deserve
 
Last edited by a moderator:
jamani wanagu, Mume hatafutwi namna hii!! umewahi kujiuliza miaka ya 80 tuu hapo nyuma watu walikuwa wanatafuje wachumba? wakati hakukuwa na mtandao wala sim!!?

Mkuu mume anatafutwa vipi.., ?, na kama zamani hawakutafuta hivi sio kwamba na sasa wasitafute hivi (zamani kulikuwa na arranged marriages) unataka turudi huko.., mkuu simu na mitandao its just medium of communication kama vile kukutana kanisani, bar au kwenye dangulo.., its all medium of communication

Mkuu kwanini una-judge.?, nani kasema umri wake umekwenda ?, ni nani amekwambia watu hawajaonyesha interest ? yaani huyu mama amediriki kusema anakubali hata mwenye mtoto aweze kusaidia kulea wewe unasema hakuwa mtulivu ?, Hata kama alikuwa kahaba (don't people deserve a second chance ?) mkuu nadhani kauli nyingine kama hazijengi sio vema kuzitoa.., zinaweza zikamfanya mtu akawa depressed..

lakini Dont rely on this type of networking!!! be very carefuly, unweza ukakutana na Shetani mtu...au mafreemarson!!! si unajua tena dunia watu wameichafua sana kwa mtandao, be very cereful dear!!

Hivi baada ya PM wataelekea Kanisani ? (au hii ndio ice breaker) watakutana na kujuana ndio wapange ndoa, hivi hao mashetani watu na mafreemarson (sijui ndio kina nani hawa ?), hawapatikani mitaani, sokoni au sehemu nyingine, yaani wapo kwenye mitandao tu ?..., mkuu PM ni kama vile salamu umemuona mtu amekuvutia au ana same interest unaamua kumsalimia na mnajuana zaidi (kwahio mitandao its just a means to meet people)

Chondo chonde Mkuu wangu Words sometimes can do more damage than a bullet, na tuwe very carefully tunasema nini wapi na kwa mtu gani..

Adios Mkuu
Z-eye Jeh-en​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…