- Thread starter
- #61
Asante dada kwa kunitia moyo.Siku hizi wadada wanafunguka mpaka raha,
Kila la heri mwaya mungu na akupatie wa kufanana nawe!
Wala usijali hizo coment za ajabu km ujuavo kila mtu na akili yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante dada kwa kunitia moyo.Siku hizi wadada wanafunguka mpaka raha,
Kila la heri mwaya mungu na akupatie wa kufanana nawe!
Wala usijali hizo coment za ajabu km ujuavo kila mtu na akili yake.
Amen,nalitambua hilo dada,haya mambo bila kumtegemea mungu hua hayaendi,nimelikabidhi mikononi mwa mungu pia.uckate tamaa muombe Mungu akuonyeshe aliyekutayarishia
Nadhani umeshindwa tu kuelewa,nakushauri uende ukapae elimu ya ukimwi hutweza kuwa na mawazo km haya,Duh una thamini kazi ya kueleweka umesahau kuna ukimwi wa kueleweka pia.Au hata muathirika mwenye kazi ya kueleweka unamtaka tu?
Hongera kwa kunijibia vema kwani umeongeza idadi ya post kwenye profile yako,ubarikiwe sana.Jibu ni Pamela ! Bahati mbaya hajajitambuwa, wenye kazi za kueleweka (kama Ngeleja na Malima) wanagombewa kama mpira wa kona. Mpaka afike JF, pamela atakuwa kafikisha 45yrs na mzunguko umekoma !
Asante SUN,kwa kawaida inabidi kuweka vigezo vyote vile nahitaji kwani najua haiwezekani kupata aliyekamilika kwa yale yote mtu anahitaji kwa hiyo cha msingi ni upendo na userious wa mtu mengine yanaongeleka tu.Pamela MS
yaani kwa watu wote niliowaona hivi karibuni kwa kweli unafaa kuwa mke kwanini nasema hivi ?
Unajua unachokitaka, na unadiriki (assertive)
Una roho nzuri sana (upo tayari wala hauna kinyongo cha kulea mtoto wa mtu, upo tayari kuchukua mwenye mtoto).
Goals (unaangalia future, mtu mwenye kipato ili muweze kujenga familia) ila nakushauri kwenye elimu legeza kidogo elimu does not determine failure or success ni kujituma kwa mtu tu..
Anyway you will make a man very happy..., lets hope utakayempata na yeye aku-treat the way you deserve
AMEN,Hakika mungu wetu ni mwema na hutupa kwa wakati wake,ubarikiwe sana.MUNGU ninayemwanini atakupatia hitaji la Moyo wako, kwa MUNGU hakuna kuchelewa wala kuwahi, AMINI MUNGU atatimiza hitaji la moyo wako. In Jesus Name
Asante sana Herald Hunter,ngoja ni itafute na kuisoma,siasa nazipenda sana na nimfatiliaji mzuri wa siasa zetu ila sina hobi ya kuwa mwanasiasa.Hongera sana Pamela, wewe ni mwana JF uliyekomaa...ungekuwa mwanasiasa (SOMA THREAD YANGU: MWANASIASA HUYU BWANA)
Habari zenu wakuu,
Mie ni mdada natafuta Mwanaume mwenye sifa hizo hapo chin km tukiafikiana tufunge ndoa,
sifa zake;
Aliye single,Mkristu,umri miaka 32-40,mwenye kazi ya kueleweka au biashara,Elimu Diploma na kuendelea,mwenye mtoto mmoja anakubalika,asiyevuta sigara,
Sifa zangu;Niko single,sijawahi kuolewa,sina mtoto,elimu ya shahada ya kwanza,umri wangu 30yrs,nimeajiriwa nafanya kazi.
Kwa maelezo zaidi kuhusu mimi kwa atakayekua interested ani PM au pamelamassawe@gmail.com
Tafadhali km unaona haikuhusu usinidhihaki ww pita bila kuandika chochote.
hili sio la mzaha so naomba msilichukulie kimzaha.
Asante kaka kwa kunikumbusha niko makini na nitaendelea kuwa makin na kulizingatia hilo.Habari yako Pamela MS?
Nahisi sina vigezo unavyo vihitaji,sabab mm ni mu Islam na pia navuta sigara. Nakutakia mafanikio mema kwenye kumpata Mume bora.
Naomba uwe makini sana na wanaume sababu wengi wetu ni matapeli na watataka watimize matamanio yao tu!
Ukifanikiwa kumpata epuka ngono na yeye hadi mtakapo pima VVU na kufunga ndoa. Na kusisitizia tena epuka NGONO kabla ya ndoa!
Sikuwahi kutoa mimba kwani sikutaka kuwa na mimba kabla ya kuolewa.umesema huna mtoto,vipi umewai kutoa mimba?
Bahati mbaya kaka mimi sipo tayari kubadili dini na ndio maana nimekuwa muwazi kabisa na kuhusiana na ishu ya dini.duh cster ningependa san tuwe wote sema m muislam ka vp badili dini.