Natafuta Mchumba/Mume.

Ni pm sasa hivi kwani na mimi tayari nilishajitangaza kutafuta Mchumba / Mke.
 
Duh una thamini kazi ya kueleweka umesahau kuna ukimwi wa kueleweka pia.Au hata muathirika mwenye kazi ya kueleweka unamtaka tu?
Nadhani umeshindwa tu kuelewa,nakushauri uende ukapae elimu ya ukimwi hutweza kuwa na mawazo km haya,
 
Jibu ni Pamela ! Bahati mbaya hajajitambuwa, wenye kazi za kueleweka (kama Ngeleja na Malima) wanagombewa kama mpira wa kona. Mpaka afike JF, pamela atakuwa kafikisha 45yrs na mzunguko umekoma !
Hongera kwa kunijibia vema kwani umeongeza idadi ya post kwenye profile yako,ubarikiwe sana.
 
MUNGU ninayemwanini atakupatia hitaji la Moyo wako, kwa MUNGU hakuna kuchelewa wala kuwahi, AMINI MUNGU atatimiza hitaji la moyo wako. In Jesus Name
 
Asante SUN,kwa kawaida inabidi kuweka vigezo vyote vile nahitaji kwani najua haiwezekani kupata aliyekamilika kwa yale yote mtu anahitaji kwa hiyo cha msingi ni upendo na userious wa mtu mengine yanaongeleka tu.
 
MUNGU ninayemwanini atakupatia hitaji la Moyo wako, kwa MUNGU hakuna kuchelewa wala kuwahi, AMINI MUNGU atatimiza hitaji la moyo wako. In Jesus Name
AMEN,Hakika mungu wetu ni mwema na hutupa kwa wakati wake,ubarikiwe sana.
 
Nyalotsi, badili tabia, kwani si kila mchaga ana tabia na mtazamo kama wako...mi si mchaga ila kwa mtu aliye serious kama pamela inabidi staha iwepo.unaonaje ungeipost hii katika udaku,jokes na kwenye vichekesho?

Kwa kawaida nawakubali wana jf wote ila kwa hapa, i say no.
 
Hongera sana Pamela, wewe ni mwana JF uliyekomaa...ungekuwa mwanasiasa (SOMA THREAD YANGU: MWANASIASA HUYU BWANA)
 
Kwa kusema ukweli, Mimi nimeoa ila kama ningekuwa bado, ningekumbuka lile neno la yule waziri wa fedha wa Ethiopia "TOWASHI WA KUSHI" "Maji si haya hapa?kwanini nisibatizwe?....Au ni kusema "Mke si huyu hapa?Kwanini nisimuoe?"
 
Mi mimi vigezo vyote nimekidhi ila kimoja tu ndo bado umri mi nini 28 tu sasa sijui nikupm?
nipe ruhusa
 
Hongera sana Pamela, wewe ni mwana JF uliyekomaa...ungekuwa mwanasiasa (SOMA THREAD YANGU: MWANASIASA HUYU BWANA)
Asante sana Herald Hunter,ngoja ni itafute na kuisoma,siasa nazipenda sana na nimfatiliaji mzuri wa siasa zetu ila sina hobi ya kuwa mwanasiasa.
Ubarikiwe mkuu.
 
Angalia pia katika email yako...kujua kuwa Mungu ni mkuu naye hukutana na mahitaji ya watu "MAKINI" kama wewe, unweza kuta muujiza wako sasa hivi....just open your email.
 
duh cster ningependa san tuwe wote sema m muislam ka vp badili dini.
 
Habari yako Pamela MS?
Nahisi sina vigezo unavyo vihitaji,sabab mm ni mu Islam na pia navuta sigara. Nakutakia mafanikio mema kwenye kumpata Mume bora.
Naomba uwe makini sana na wanaume sababu wengi wetu ni matapeli na watataka watimize matamanio yao tu!
Ukifanikiwa kumpata epuka ngono na yeye hadi mtakapo pima VVU na kufunga ndoa. Na kusisitizia tena epuka NGONO kabla ya ndoa!
 
Last edited by a moderator:

umesema huna mtoto,vipi umewai kutoa mimba?
 
Asante kaka kwa kunikumbusha niko makini na nitaendelea kuwa makin na kulizingatia hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…