Hivi ni wewe akilikichwani au mwingine. kumbe sometimes una akili kweli na namna hii, yani point tupu tangu mwanzo hadi mwisho. Umenifurahisha kweli leo kunywa banta baridi hapo ulipo kwa afya yangu.
I agree with you 102%
he dada camel weeeeeeeeee, kamswalie mtume!!!!!!!!!!!!!!!
tangu lini akili zikaninyofoka wajameni, mbona mie siku zote nashuka nondo tupu?????????????/
kuuuuumbeeeeee, kuna siku nyingine huwa hunielewi sawasawa!!!!!!!!!!!!!!!
anyway, thanks kwa banta japo sijui ni laga gani hiyo, ila huku kuna baridi sana, ningependa ya mto tafadhari badala ya hiyo baridi, we weita, embu nibadilishie hii, nataka ya moto....................
thanks sisteri,
washaurini hawa wadogo zenu jamani, wanawaangusha. sasa huyu mwenzenu kapewa talaka siku mbili kabla ya ndoa halafu anaingia mkuku jamvini anataka tulizo la moyo fastafasta. si umeona nusura anko fidel 08 aingie mkenke? na kasi aliyokuwanayo sijui kama hata angekumbuka masuala ya kupima, yaani anko yuko kwenye risk kubwa sana, anahitaji kuombewa!