Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
alaaaaa........chukuchuku au walotiwa nazi?
Wajua mapishi ya Kizenji weyeeeee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alaaaaa........chukuchuku au walotiwa nazi?
Wajua mapishi ya Kizenji weyeeeee?
shemeji.......usiombe kugusa...chezea mimi
shemeji.......usiombe kugusa...chezea mimi
Vp huchanganyi na Tango hapo?
hakuna balaa yoyote....hayo ndo mapishi shurti samaki atiwe viungo
Bata wapenda weye pia?
bata sijamtumia labda nifanye kumuonja.............yu anoga eeee?
Hivi ni wewe akilikichwani au mwingine. kumbe sometimes una akili kweli na namna hii, yani point tupu tangu mwanzo hadi mwisho. Umenifurahisha kweli leo kunywa banta baridi hapo ulipo kwa afya yangu.
I agree with you 102%
Jamani mmegundua nini katika mpangilio wa hayo matunda? Mimi naona yamekaa kama umbo la mwanamke,............................................endeleeni kwanza.
....hivyo ni viungo vya kuungia samaki...umbo limekujaje hapo
Tell him asituharibia mazingira!
eeeh shem upo......haya bata umempata
Nilikuwa nakusubiria wewe
mie sijampata....bata hakamatiki walhahi
TISS wanaendelea ku-update taarifa zao..😀
jamani kwani watu hawaachani, ndo hivyo mungu akupenda kwa hiyo no more ndoa, ila penye nia pana njia.