Natafuta Mchumba/mume

Natafuta Mchumba/mume

though wanasema age is nothing but a number, hebu legeza kwenye umri kiasi maybe we can have a deal.
 
Dadangu!

Endelea kumwomba mungu mchumba mwema haji kwa kutangaza! kila mtu mungu kampangia mwenza wake kazia maombi piga goti...umri wako hujachelewa kihivyo... all the best..
 
Back
Top Bottom