Natafuta mchumba mwalimu au nesi alie Bariadi

Natafuta mchumba mwalimu au nesi alie Bariadi

Joined
May 28, 2023
Posts
61
Reaction score
79
Wadau habarini,
Mimi Nina tabia nzuri Sana mwenye huruma sijisifu bali naongea ukwwli wangu nilioa mwanamke ambae hakuwa na malezi mazuri alijichanganya mtaani na kufuata uhu I kwa ujumla alikuwa mshamba wa mapenzi alipojua saloon ni nini akachepukamazima. Kwa sasa nahangaika Sana kujua nitampata wapi ambae atakuwa sawa kwangu.
Hivyo basi nimekuja kwenu mnipe ushauri ni wapi mtandao gani au group gani Kuna waalimu au manesi hujinadi kutaka kuolewa, nimejaribu kuangalia magroup ya Facebook sioni mtu akijinadi yeye ni nesi au mwalimu, ushauri tafadhali haswa kwa waliobahatika kupata wachumba wa namna hiyo namba yangu ya whattssapp 0624726872
 
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA

#PONDA MALI KUFA KWAJA
 
Screenshot_20240810_075454_Sukuma Bible.jpg
 
Walimu na manesi kuweni makini yawezekana mshahara wa mtu unatafutwa hapa,huko bariadi umekosa mwalimu say nesi unajinadi Kwny makundi kweli.Siku hizi walimu na manesi wanatafuta mwisho hurubuniwa kwamba kakope bank tufanye biashara akishakopa mume anajifanya ndio anapambana kusimamia Miradi baada ya hapo atakutoroka hutaamini.
 
Kwa huo uandishi atakaejichanganya hapo kaumia
 
Walimu na manesi kuweni makini yawezekana mshahara wa mtu unatafutwa hapa,huko bariadi umekosa mwalimu say nesi unajinadi Kwny makundi kweli.Siku hizi walimu na manesi wanatafuta mwisho hurubuniwa kwamba kakope bank tufanye biashara akishakopa mume anajifanya ndio anapambana kusimamia Miradi baada ya hapo atakutoroka hutaamini.
Kwangu hilo halipo jiamini usiogope
 
Back
Top Bottom