Natafuta mchumba( mwanajeshi)

Unataka mpewe uraia wa Ukraine nini ili mkasaidie jeshi? , mimi nimepitia jkt yaani nilikua kuruta, nanga wa demo vipi sifai mkuu?
Baby tuje tuanzishe uzi wetu wa kuchangisha michango ya harusi yetu mwezi july.
 
Askari wa Jeshi hua hawaruhusiwi kuolewa na raia lifuatilie hili
 
Wanajeshi wanahofu na makamanda wao tu, sio mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…