Kichwa cha habari chahusika.
Natafuta mwanamke ambaye anahitaji kuwa na mwanaume for long term relationship ili kujenga familia pamoja.
Sifa za mwanamke nimtakaye:
1. Awe anaishi mkoani Mbeya.
2. AWE TAYARI KUPIMA HIV
3. Awe na umri kuanzia 20 hadi 35.
4. Elimu yake kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
5. Dini yeyote ili mradi awe na nia ya dhati ya kuwa na mahusiano imara (ndoa).
6. Awe visionary woman na anayejitambua.
7. Endapo ana mtoto basi asizidi mmoja; kama ana mtoto zaidi ya mmoja - I am sorry.
Sifa zangu.
1. Ninaishi mbeya mjini
2. Nipo tayari kupima HIV
3. Nina kibarua (kazi)
4. Elimu ya chuo
5. Najielewa na nipo serious na hili jambo la kutafuta 'MKE'.
6. Mkristo wa Roman
7. umri wangu ni miaka 35.
Karibu kwa mwenye uhitaji kama wangu.
ASANTENI SANA 👏