Natafuta mchumba (mwanamke) muislamu

Natafuta mchumba (mwanamke) muislamu

kekule benzene

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
1,444
Reaction score
3,576
Wasalaam wakuu!!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta mwanamke ambaye atakuja kuwa mke wangu

Wasifu wangu
*Umri -26
*Elimu -Bachelor degree
* Dini - muislam
*Rangi- Mweusi(pure)
*Urefu-Wastani
*Makazi- DSM
NB
Kama kuna kitu cha ziada nitaweka nikikumbushwa (Nikiulizwa)

SIFA ZA MWANAMKE
* Muislam ( nazungumzia muislamu ambaye anajipamba na uislamu , mavazi, ibada n.k
*Awe na ufahamu katika dini angalau Yale mambo ya msingi
*umri-asizidi miaka 25
  • Awe Dsm au awe mwenye kukubali kuishi DSM
  • Elimu sio issue
  • Sitak mwajiriwa, Ikiwa amejiajiri itakuwa vizur lakin kama hana Kaz sio mbaya.
N.B Kwa bint aliye serious aje inbox,
Kama hauna sifa tafadhali kwa heshima na taadhima usije.
 
Hauwezi kupatata mtoto mbichi wa miaka 22 ...Kitaalamu mtoto wa kike wa miaka 22 ndio anakuwa kwenye peak ya uzuri ambapo anafautwa na madume kibao hivyo anajiona mzuri ,hawezi kuja kwako hata kidogo.

==============================
Don't tote no 22, Magnum cost me 22
Sat it on them 22, birds go for 22
Lil' mama super thick, she say she 22
She seen them 22, we in room 222.
=============================
 
Rick Ross - Everyday I'm Hustling
 
Hauwezi kupatata mtoto mbichi wa miaka 22 ...Kitaalamu mtoto wa kike wa miaka 22 ndio anakuwa kwenye peak ya uzuri ambapo anafautwa na madume kibao hivyo anajiona mzuri ,hawezi kuja kwako hata kidogo.

=========================================================
Don't tote no twenty-twos, Magnum cost me twenty-two
Sat it on them twenty-twos, birds go for twenty-two
Lil' mama super thick, she say she twenty-two
She seen them twenty-twos, we in room two twenty-two.
=========================================================
OK,
Hauwezi kupatata mtoto mbichi wa miaka 22 ...Kitaalamu mtoto wa kike wa miaka 22 ndio anakuwa kwenye peak ya uzuri ambapo anafautwa na madume kibao hivyo anajiona mzuri ,hawezi kuja kwako hata kidogo.

==============================================
Don't tote no twenty-twos, Magnum cost me twenty-two
Sat it on them twenty-twos, birds go for twenty-two
Lil' mama super thick, she say she twenty-two
She seen them twenty-twos, we in room two twenty-two.
==============================================
Ok let me wait, lakini nothing is impossible
 
Degree changamoto, ilibid nipo peak katika harakat za kuoa sema tumeshindwana kutokana na distance , mm nipo mbali na mwanamke na hawez kuacha kaz kisa mm
Endelea kutafuta kila la kheri kukamilisha ndoto zako.
 
Back
Top Bottom