Natafuta mchumba mwanamke

Natafuta mchumba mwanamke

Joined
Jan 27, 2018
Posts
79
Reaction score
60
Natafuta mwanamke nitakayedate naye hadi tujenge ndoa. Nipo Chuo mwaka wa Mwisho

Umri awe kuanzia miaka 18 adi 24, awe mwenye hofu ya Mungu, mkweli, ni vizuri awe Dar es Salaaam

Namba za simu 0788948431 kwa aliye tayari
 
Dogo kwani chuoni hapo umewakosa?
Huku wapo wale wa jua limezama ndo wanataka wachumba wa kuwaoa
 
Hao wanaomaliza chuo huwa wanamatarajio makubwa hatari
Waache kwanza wakae mtaani miaka 2 bila kazi
Siku ukimweleza dhamila yako anakuwa amenyooka kwelikweli
 
Upo chuo mwaka wa mwisho halafu unaandika "adi" badala ya hadi? Chama chako ni CCM?
 
Pamoja na kuwa mwaka wa mwisho, bado hujui kuandika.

Sentensi yenye maneno kumi inakushi nda.
 
Kwa uandishi huu lazima ugongewe sana mkeo kuanzia kwenye level ya urafiki, uchumba hadi ndoa.
Be a gentleman
 
ℕ𝕘𝕠𝕛𝕒 𝕟𝕜𝕦𝕦𝕟𝕘𝕒𝕟𝕚𝕤𝕙𝕖 𝕟𝕒 𝕛𝕚𝕣𝕒𝕟 𝕪𝕒𝕟𝕘𝕦
 
Natafuta mwanamke nitakayedate naye hadi tujenge ndoa. Nipo Chuo mwaka wa Mwisho

Umri awe kuanzia miaka 18 adi 24, awe mwenye hofu ya Mungu, mkweli, ni vizuri awe Dar es Salaaam

Namba za simu 0788948431 kwa aliye tayari
Me nakushauri kama upo chuo tafuta chuo hukohuko maana ata me mchumba wangu nlimpata nlivokua chuo, huku mtaani kupata anaeeleweka ni kazi sana. Labda ujaribu kanisani, unaweza ukapata wa kueleweka.
 
Back
Top Bottom