Nadhani hajaona Uzi ulekuna jamaa alisema anamtafutia mume dada yake.
Wewe ni Jinsia gani?Mim ni kijana ambaye natafuta mchumba
Sifa kuu
1.awe muislamu
2)awe serious
3)asizid miaka 35
Mimi sasa sifa zangu
1)kwasasa najishughulisha na biashara
2)mweusi
3)33ndio umei wangu karibuni tujenge familia ili mwaka 2023 tuanze vyema
labda hajaona mwambie autafuteNadhani hajaona Uzi ule
Mim ni kijana ambaye natafuta mchumba
Sifa kuu
1.awe muislamu
2)awe serious
3)asizid miaka 35
Mimi sasa sifa zangu
1)kwasasa najishughulisha na biashara
2)mweusi
3)33ndio umei wangu karibuni tujenge familia ili mwaka 2023 tuanze vyema
Inshallah Mungu atakupa hitaji lako