Natafuta mchumba mwanamke

Natafuta mchumba mwanamke

Habari Wana jamii forum
Mimi ni kijana umri miaka 27, ni mfanyabiashara na Nina degree ya chemistry
Natafuta mwanamke wa kuoa ,
Naishi mabibo
Umri wa mwanamke usizidi miaka 22
Wewe bado kinda Sana. @27 fikiria kujijenga kabla ya kukaribisha matatizo.
Umri wa kuoa Ni 32 mpaka 35 kwa mwanaume.
Na 28 Hadi 32.
 
Na 28 Hadi 32 kwa mwanamke.
 
Wachumba hujawaona mtaani huko. Mpk unakuja umu Kweliiiii. Naenda udzm pale kuna watoto wakali
 
Back
Top Bottom