Natafuta mchumba(Mwanaume)

Natafuta mchumba(Mwanaume)

Byera1

Member
Joined
May 10, 2012
Posts
9
Reaction score
3
Hi wana jf,
Mi ni mdada mwenye umri wa miaka 24, dini yangu ni muislam,nimeajiliwa ktk taasisi ya kiserikali,muonekano wangu sio mfupi wala mrefu, mzuri kiasi na rangi yang si mweupe wala mweusi ni natural situmii mkorogogo na napenda maendeleo na napenda kujituma pia.napenda kuishi maisha ya amani furaha na upendo
Mwanaume nimtafue,
Dini yake awe muislam,umri kuanzia miaka 26-32,Awe mfanyakazi au mfanya biashara,awe mrefu kiasi na asiwe mnene sana,awe anajua maisha nini, mpenda maendeleo, awe na upendo wadhati.jwa yeyote mwenye nia njema tuwasiliane kupitia email byera43@yahoo.com.
 
mdodo wangu, Muombe Mungu akujaalie mume mwema utakayempenda, maana hapa naona kama utakutana na watu ambao hawako serious na kukuvuruga tu. wewe bado mdogo sana, miaka 24, nakushauri tulia fanya kazi zako na kama kujiendeleza kielimu fanya hivyo, usikimbilie ndoa kwa namna hii, Mungu atakujaalia tu wala usihofu.
 
naomba unijibu mail yangu tafadhali....
 
mdodo wangu, Muombe Mungu akujaalie mume mwema utakayempenda, maana hapa naona kama utakutana na watu ambao hawako serious na kukuvuruga tu. wewe bado mdogo sana, miaka 24, nakushauri tulia fanya kazi zako na kama kujiendeleza kielimu fanya hivyo, usikimbilie ndoa kwa namna hii, Mungu atakujaalia tu wala usihofu.

asante kwa ushauri
 
Hi wana jf,
Mi ni mdada mwenye umri wa miaka 24, dini yangu ni muislam,nimeajiliwa ktk taasisi ya kiserikali,muonekano wangu sio mfupi wala mrefu, mzuri kiasi na rangi yang si mweupe wala mweusi ni natural situmii mkorogogo na napenda maendeleo na napenda kujituma pia.napenda kuishi maisha ya amani furaha na upendo
Mwanaume nimtafue,
Dini yake awe muislam,umri kuanzia miaka 26-32,Awe mfanyakazi au mfanya biashara,awe mrefu kiasi na asiwe mnene sana,awe anajua maisha nini, mpenda maendeleo, awe na upendo wadhati.jwa yeyote mwenye nia njema tuwasiliane kupitia email byera43@yahoo.com.

Una kazi ngumu,
chapa kazi, mume atakuona ukichapa kazi!!! Ukifanya ibada, nikupe maneno machache!

"Mwali huolewa na mwanaume asiyemtaka, bali mjane huolewa na mwanaume ampendaye"
usikosee kuelewa hayo maneno.
 
Vigezo vyote ninavyo kasoro dini tu. Maana mimi ni Mwadventista msabato.
 
n
mh! nimependa tangazo lako.....limetulia. mi nadhani sina sifa kabisaaaaaaaa...............
 
Kila la heri katika juhudi za kumpata mwenzio.
 
Mimi naona nimekidhi viwango vyote lakini nataka kujua kama umejaliawa ndombolo ya solo?
 
Byera1, Mungu akutangulie ktk hitaji lako. Kuna mdau amedai umri wako 24 yrs ni mdogo, usimsikilize huo ni umri mwafaka kwa binti kuolewa. Mimi nilioa binti wa miaka hiyo na nilikuwa sijafika 30 yrs.
Kitu ulichosahau kusema ni kama uko tayari kuwa mke mwenza maana Uislamu unaruhusu na wewe wataka mume Muislam.
 
Una kazi ngumu,
chapa kazi, mume atakuona ukichapa kazi!!! Ukifanya ibada, nikupe maneno machache!

"Mwali huolewa na mwanaume asiyemtaka, bali mjane huolewa na mwanaume ampendaye"
usikosee kuelewa hayo maneno.[/QUOTE
asante kwa ushauri wako mkuu, sio kwamba huku mtaani hamna wanaonifata ila tatizo la huku mtaani mtu anakufata kwa ajili ya kitu fulan
 
Mimi naona nimekidhi viwango vyote lakini nataka kujua kama umejaliawa ndombolo ya solo?

aweke picha tuone ndombolo ya solo kwanza , maana blind dating nouuuuma, usiju ukawa zombie bure
 
Back
Top Bottom