Natafuta mchumba(Mwanaume)

Natafuta mchumba(Mwanaume)

Weka picha, ukinivutia nitakuwa tayari kubadili dini.
 
me vigezo ninavyo isipokuwa mweusi kama lami kama uta ignore hilo pliz nifikirie
 
Una kazi ngumu,
chapa kazi, mume atakuona ukichapa kazi!!! Ukifanya ibada, nikupe maneno machache!

"Mwali huolewa na mwanaume asiyemtaka, bali mjane huolewa na mwanaume ampendaye"
usikosee kuelewa hayo maneno.[/QUOTE
asante kwa ushauri wako mkuu, sio kwamba huku mtaani hamna wanaonifata ila tatizo la huku mtaani mtu anakufata kwa ajili ya kitu fulan

kama umeshindwa kumpata miongoni mwa unaowaona, unatarajia utampata katika hawa kwenye maandishi? Nako choice yako itakuwa kama huko kitaa. Nakuhakikishia hatimaye utakuja olewa na mwanaume aliyekupenda, nawe utakuwa umemkubali, sio kumpenda, otherwise chagua wewe unayempenda, sio usakizie watu wakutokee, "Utamkubali mwanaume atakayekusumbua sumbua saaaana ili utoe nuksi ya kutokufunga ndoa, then utajakiona kifaa utakachokifia kiukweli!!!!
 
Hi wana jf,
Mi ni mdada mwenye umri wa miaka 24, dini yangu ni muislam,nimeajiliwa ktk taasisi ya kiserikali,muonekano wangu sio mfupi wala mrefu, mzuri kiasi na rangi yang si mweupe wala mweusi ni natural situmii mkorogogo na napenda maendeleo na napenda kujituma pia.napenda kuishi maisha ya amani furaha na upendo
Mwanaume nimtafue,
Dini yake awe muislam,umri kuanzia miaka 26-32,Awe mfanyakazi au mfanya biashara,awe mrefu kiasi na asiwe mnene sana,awe anajua maisha nini, mpenda maendeleo, awe na upendo wadhati.jwa yeyote mwenye nia njema tuwasiliane kupitia email byera43@yahoo.com.

nafasi hii ni yangu. Vigezo vyote ninavyo! Mwamwamwah
 
Akina andunje hatuna nafasi? Kila rakheri bibie.
 
Kunakazikwelikweli kwani dada tangu unasoma sec.chuokikuu hukumuandaa atayekuja kukuoa? Maana humu jf ni fullmasiara.
 
Elimu yako certificate,diploma,degree au masters weka hadharan wa2 wajue! Na unaemtafuta awe na elimu gani ?
 
Wewe utapata hapa jamvini vigezo vyako vinaonesha uko serious....
Mungu akutangulie.....
 
Umesema uko kwenye taasisi ya serikali je m2 angependa kujua ni ya afya,elimu n.k 2ambie japokuwa cna vigezo!
 
Je kama mtu kazidi mwaka 1 nkimaanisha ana miaka33 ataruhusiwa ! Alaf weka picha yako 2kuone jins ulivyo!
 
Umesema uko kwenye taasisi ya serikali je m2 angependa kujua ni ya afya,elimu n.k 2ambie japokuwa cna vigezo!
 
Kunakazikwelikweli kwani dada tangu unasoma sec.chuokikuu hukumuandaa atayekuja kukuoa? Maana humu jf ni fullmasiara.
 
Dini tu kwangu ndo kimekuwa kikwazo ...be blessed!
 
mdodo wangu, Muombe Mungu akujaalie mume mwema utakayempenda, maana hapa naona kama utakutana na watu ambao hawako serious na kukuvuruga tu. wewe bado mdogo sana, miaka 24, nakushauri tulia fanya kazi zako na kama kujiendeleza kielimu fanya hivyo, usikimbilie ndoa kwa namna hii, Mungu atakujaalia tu wala usihofu.

watu bhana, hajakuomba ushauri, soma post yake tena, kasema anatafuta mchumba!!!

Above all 24 is enaf kuwa na mchumba, wewe kwa mara ya kwanza kuwa na mchumba ulikuwa na miaka thelathini na ngapi????

Good lucky gal!
 
Back
Top Bottom