Natafuta mchumba mwenye penzi la kweli

These things are in two sides whether uumize au uumizwe nukta. Sasa wewe kama huumizwi basi unaumza.
Kwanini lakini unataka kunidanganya na uzee huu sajientia?

Kwahiyo ni two saidi tu kweli onile? Je msipoumizana kiamani kiroho safi kila mtu akaridhika kuoshwa kikojoleo chake kila mtu akatulia kivyake.

Watch not to zet eksitent.
 
Hapa ndio utajua wanaume ni bidhaa adimu na waliopo waowaji ni wachahe
 
Kwanini lakini unataka kunidanganya na uzee huu sajientia?

Kwahiyo ni two saidi tu kweli onile? Je msipoumizana kiamani kiroho safi kila mtu akaridhika kuoshwa kikojoleo chake kila mtu akatulia kivyake.

Watch not to zet eksitent.
Bado nastand na msimamo ule ule. Hakunaga kiroho safi lazima kuna mmoja aliumia tu. Yaani HAKUNAGA
 
Kuna mtu nilikutana naye tukafanya yetu baada ya week moja tukapotezeana pasipo yeyote kulalama wala kumkumbuka mwenzake. Nwei tunaongea feelings ambazo ni ngumu kuzitransform unielewe vizuri.
 
Mimi nina vigezo hivyo nawe unajua kubembeleza sio siku mbili unaanza kunisogezea ugali kwa mguu
 
Mmesha chakazwa mnataka mtuuzie mbuzi kwenye magunia kum nyie
 
Kuna mtu nilikutana naye tukafanya yetu baada ya week moja tukapotezeana pasipo yeyote kulalama wala kumkumbuka mwenzake. Nwei tunaongea feelings ambazo ni ngumu kuzitransform unielewe vizuri.
Hiyo one night stand ni exception.
 
Hapo chacha.Wakaka kazi kwenuuu
 
Teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…