Natafuta mchumba mwenye penzi la kweli

Natafuta mchumba mwenye penzi la kweli

mimadota

Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
48
Reaction score
108
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati
sifa zangu
sina mtoto
sijawai olewa
nimewai kuwa na mahusiano
elimu kidato cha nne
sio mnene wala sio mwembamba
rangi ya kati
mjasiriamali

sifa za ninae mtaka
awe ameumizwa
maji ya kunde
umri 28 kuendeea
awe kacheza kachoka hana tamaa
awe anajituma na apende ujasiliamali
awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo ccp mosh au jkt
NB naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza
 
utamjuaje sasa kama anasauti ya kubembeleza wakati hata namba za sim hauja weka au utajua kupitia mesege
 
Usafi wa papuchi je, unajiweka sawa lakini huko? Je, unavaa nywele za maehemu (wig), unapenda sana kuchat Facebook na Insta, una marafiki machangu, unafanya kazi, una magonjwa ya maabukizi, unajuwa kupika, wewe ni msafi si kimwili tu kutunza nyumba, unajuwa kufua nguo? Hivi ni sifa tunazotaka kujuwa.....vingine baada ya kufanyiwa test kwanza.
 
nipo hapa sifa zote ulizotaja ninazo but mimi MKURYA kama upo tayari karibu pm
 
Vyoote ninavyo ila tatizo hapo kwenye kubembeleza tu aiseee.

Hapo nimefeli.
 
Back
Top Bottom