Natafuta mchumba mwenye vvu

Natafuta mchumba mwenye vvu

celine 2

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Mi ni mwanamke nna miaka 32 naishi na vvu,natafuta mchumba anayeishi na vvu pia.awe na miaka kuanzia 30,mkristo,awe ameajiriwa au amejiajiri,anayejitambua na kuikubali hali yake,mm nimeajiriwa niko dar aliye tayari ani pm.
 
utapata dadaa..sali Tu kwa bidii
 
Safi sana bi dada. Inaonyesha unajitambua na unajali
 
Mi ni mwanamke nna miaka 32 naishi na vvu,natafuta mchumba anayeishi na vvu pia.awe na miaka kuanzia 30,mkristo,awe ameajiriwa au amejiajiri,anayejitambua na kuikubali hali yake,mm nimeajiriwa niko dar aliye tayari ani pm.

mh,majanga,wewe unataka kujua member wa jf wenye transforma.
 
Mi ni mwanamke nna miaka
32 naishi na vvu,natafuta mchumba anayeishi na vvu pia.awe na miaka
kuanzia 30,mkristo,awe ameajiriwa au amejiajiri,anayejitambua na
kuikubali hali yake,mm nimeajiriwa niko dar aliye tayari ani pm.
ukikosa aliyeasirika dadangu ua moja tu kwa faida ya wengi wapo wanajitoa kufa kwaajiri ya wengine
 
mdogo wangu hongera sana kwa kujitambua.
nakupongeza zaaid kwa kuamua kuwa na mwenza.
kila la heri
 
Mi ni mwanamke nna miaka 32 naishi na vvu,natafuta mchumba anayeishi na vvu pia.awe na miaka kuanzia 30,mkristo,awe ameajiriwa au amejiajiri,anayejitambua na kuikubali hali yake,mm nimeajiriwa niko dar aliye tayari ani pm.

mimi nipo tayari call0658004203 nipo dar
 
Tungekuwa na uwazi kiasi hiki tungepiga hatua kubwa sana kwenye vita juu ya maambukizo mapya.Usife mtoa mada wapo watakaoligeuza utani jambo hili ila fahamu pia kwa advancement ya huduma za kinga mnaweza kupata mtoto asie na maambukizi.
 
tafuta mabandiko mengine ya wakaka wanaoishi na VVU halafu uwaPM
 
Back
Top Bottom