Natafuta mchumba na awe serious

Natafuta mchumba na awe serious

Mijitu mengine bada sasa nyie wanaume mna comment nini hapa, nimesema natafuta mke, sasa nyie mbn mnanichafulia barza yangu. wanaume hawaruhusiwi kucomment hapa.
Ndio maana kumbe umeshindwa kupata hata hao wazungu wasiokuwa na akili, i belive hawa wa kwetu huku ndio hupati kabisaaa
 
Ndio maana kumbe umeshindwa kupata hata hao wazungu wasiokuwa na akili, i belive hawa wa kwetu huku ndio hupati kabisaaa

Kama hili jamaa halijasoma kabisa, nani kakwambia anashindwa kupata mademu?? mademu wapo kibao. na kama unafagilia wazungu huku tunawaona mavi tuu. ukienda club unajichukulia bila hata kutongoza, kama ww unawaona dili sisi tulioko huku hatuwataki. kisha mimi hapa sijasema nimeshindwa kupata demu. nimeandika kua natafuta mke, so soma kwanza kisha ukoments. ndio maana nikasema wanaume sitaki waandike kitu hapa
 
Dah unanipa tabu sana wewe, hivi kama ni kweli kusoma hujui basi hata picha nayo huwezi tazama? Hebu soma nilichoandika halafu ufanye comparison na ulichokisema wewe. Dah Mungu msaidie huyu mtu apate mwanamke mwenye akili ya kumuongoza
 
vipi kina dada ina maaana hizo sifa hamna au??? sio lazima uwe umesoma au vp just uwe na sifa ya shape tuu
 
vipi kina dada ina maaana hizo sifa hamna au??? sio lazima uwe umesoma au vp just uwe na sifa ya shape tuu

unatafuta mke au unatafuta chombo cha starehe kufurahisha fantasy zako????hujui kesho na keshokutwa atazaa shape itabadilika,utamuacha utafute mwingine mwenye shape????.........btw hata machangudoa wapo wenye umbo la juu mwembamba chini mnene kwa nini usiende kwa hao kwanza?......mnh
 
Mimi ni kijana mwenzenu naitwa junaid, ni kijana mwenye asili ya kiarabu na ninaishi Uk. natafuta mchumba mwenye sifa hizi, hizi sifa ni muhimu sana maana mwanamke wa ndoto yangu nataka awe hivi :
1 ) mrefu
2)Rangi yoyote
3)kabila lolote
4)Dini awe mwislamu au kama ni mkiristo basi awe tayari kuslimu
5)Umbo - Hapa kwenye umbo ni muhimu sana, maana nataka awe juu mwembamba na mwenye maziwa madogo kisha chini awe na mahipsi hasaaa pia na awe na ma_ta_ko, yaani umbo number 8. Wallah nikimpata huyu nitafurahi sana, naamini wapo wengi sana
6)Awe mpole mvumilivu na mwenye heshima zake na aliyetulia.

Nina mpango wa kuja haraka pale atakapojitokeza kuja kuonana na kupanga maisha, kuhusu pa kuishi atachagua yeye kama ulaya ama africa.

Baada ya mawasiliano ya mwanzo kitachofuata ni picha yake na kama nitaridhika nae basi nitampatia number zangu za simu na picha na pia kuchat nae kwenye skype.
Natumai atakuja siku moja.

Hiyo namba tano, ina specific functions...., haya dada zetu nendeni kwa mwarabu wa UKONGA..., ili mchague uishi ulaya au afriiiiiiiiiiica
 
Mi sifa zote ninazo ila sijasoma kbs,yan ht la kwanza sikugusa.
 
aaaaaaah! mwarabu wapi wewe yani huukoooooooo koooooooote ulaya umekosa mke mpaka uamue kuoa huku we sema tu unatumia trick ya ulaya ili kuwakamata wengi na wajinga wote kweli watashikwa masikio hahahahahah
mwarabu wa kwa mtogore
 
unatafuta mke au unatafuta chombo cha starehe kufurahisha fantasy zako????hujui kesho na keshokutwa atazaa shape itabadilika,utamuacha utafute mwingine mwenye shape????.........btw hata machangudoa wapo wenye umbo la juu mwembamba chini mnene kwa nini usiende kwa hao kwanza?......mnh

Dada nishaona wengi wenye shape, mwanamke akiwa na shape haiondoki hata akizaaaa mara mia, nishaona wengi sana na wengine wakizaa ndio shape zinazidi. kila mtu na hulka yake mimi mwanamke akiwa number 1 hua simpendi so hii ni hulka yangu
 
1.JPG
jamani shape ninayo itaka ni kama ya huyu dada hapa kama kuna mtu anamjua naomba data zake nimtafute, nitafurahi sana kwa msaada wenu. Huyu dada katulia sana
 
Hapo tu kwenye kung'ang'ania shape ndo pamenifanya nijue kuwa unatafuta bidhaa na sio mke!!
 
Una uhusiano na Ustaadh wangu, Marehem Sharif Junaid?
 
Hapo tu kwenye kung'ang'ania shape ndo pamenifanya nijue kuwa unatafuta bidhaa na sio mke!!

Ili upendo uwepo kwenye uhusiano inabidi umpate mtu unayempenda na hasa mimaumbile. kila mtu anapenda jinsi mtu alivyo kuna wengine wanapenda wanene, wengine wembamba, wengine warefu na wengine wafupi. so mimi hulka yangu ili nitulie km maji ya mtungi inabidi nimpate mtu mwenye shape km huyo dada hapo.
 
Back
Top Bottom