Natafuta Mchumba na baadae awe Mume

stellahthatcher

Senior Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
168
Reaction score
165
Habari za leo JF,

Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha.

Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji

  1. Ninafanya kazi kwenye moja ya media houses hapa Tanzania
  2. I am in my late 30's
  3. Si mweupe kivile wala si mweusi niko hapo in between
  4. Nahitaji mwanaume mwenye dini yoyote sibagui
  5. Awe na umri kuanzia kama huo wa kwangu na kuendelea
  6. Situmii kilevi cha aina yoyote
  7. Mengine tutaelezana PM
Wanaume wenye nia ya dhati wanakaribishwa.


Update: 08.06.2017 saa 1 dakika 10 usiku.


Nawashukuru sana wote ambao mmechukua muda wenu kunitumia PM. Kiukweli jumbe zimekuwa nyingi na naanza sasa kuwajibu baadhi ya members ambao ninaona kwamba tunaweza kuendeleza mawasiliano na possibly akapatikana mmoja ambaye tutaridhiana. Endapo utaona sijajibu ujumbe wako please elewa kwamba sijaradhau na pengine you have been turned down.

Shukrani.
 
vipi una chura lakini?
 
kwani
kwann uje kutafuta humu jf,, inamana 1)hutongozwi 2) unapenda mtu wa mtandaoni 3)unamajaribu ?
 
hamnaa fursaa hapo,hvi bro kwa akili ya kawaida,kuna msichana asiyetongozwa?
You never know! Labda wanaomfata sio type yake..! Who cares.?! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Stela alishuka amebeeba mtoto mgongoni,nyuma yake mchumba wake flan,toka jamiiforum..
 
Subiri waje watakwwmbia bado ma single hawajawah kua kweny mahusiano ya kimapenz yoyot na tayar washa kabidhiwa masters za relationship[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…