Natafuta Mchumba na baadae awe Mume

Nawashukuru sana wote ambao mmechukua muda wenu kunitumia PM. Kiukweli jumbe zimekuwa nyingi na naanza sasa kuwajibu baadhi ya members ambao ninaona kwamba tunaweza kuendeleza mawasiliano na possibly akapatikana mmoja ambaye tutaridhiana. Endapo utaona sijajibu ujumbe wako please elewa kwamba sijaradhau na pengine you have been turned down.

Shukrani.
 
Haya tunashukuru kwa taarifa labda niseme tu nimechelewa kutuma maombi na sina choyo kwq wenzangu watakaopita kwenye panel interview.

Jaliwa mme mwema mjazwe mapene teletele. Sema amina
 
ZoomTanzania![emoji13] [emoji13] waliotuma maombi wanajaa shamba la bibi!
 
acha kuishi kwa nazaria
Nadharia unayo wewe..Ungewauliza JF why wameweka jukwaa jili kuliko kuja kuwakera Watu wanaotafuta wachumba kwa njia nzuri Na iliyobarikiwa Na uongozi wa JF.Cha ajabu Nani kakulazimisha kuingia humu???
 
 
Kwa ulivyo jieleza na kutoa mrejesho inaonekana ni mwanamke unayejiheshimu, jielewa na unafaa kuwa mke na mama wa familia bora, Mungu akujalie umpate wa namna yako
 
Unawafanya kama nguo za mnadani.....ndo maana nawashangaa watu wanaowafata huko pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…