Natafuta mchumba..nimchumbie alafu nimuoe..

Chezamomo

Senior Member
Joined
May 25, 2019
Posts
112
Reaction score
107
Habari ..wapendwa Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nipo Dodoma nimeajiriwa, Na itaji mwanamke chini ya miaka 30 sitajali Ana watoto au mtoto awe anapenda utani ,sichagui kabila au rangi
Karibuni.. thanks
Watsap no. 0768244668
 
Kijana hizo nyege zako baadaye usije ukalalamika humu
 
Kama kuna akina dada ambao huwa hawaungi mkono juhudi za mkuu na badala yake huwa wanakosoa bhas changamkieni fulsa hiyo ya kwenda kujieleza kwanini huwa hamuungi mkono juhudi za mkuu,Yan kijana mwenye nguvu zake,Ajira yake atangaze kuoa mwanamke yeyote bila vigezo zaidi ya cha umri tuu? Hapa kuna kila dalili za kutafutwa watu fulani wakatoe maelezo Chamwino
NB:nime miss sana ufanisi vijana wa kitengo mama enzi za usimamizi akina Gen Kombe, Apson nk, hawakungoja kuletewa data ama subjects ila waliingia field kuzitafuta wao wenyewe na walipotega mitego bhas walitega mitego kweli sio hawa vijana wa sasa wanao tega mtego wa Mbawala wakati mlengwa wao ana kimo Cha Tembo
 
Waambie me Niko serious kabisa na namba yangu nimeweka hapo juu..
 
Upate hitaji lako ila usidhani kwa tangazo hilo ni rahisi saaana kupata hitaji kamili. Maisha yamebadilika sana mdogo wangu.. njano inafanywa nyeusi hadi ukishapita inarudishwa rangi yake ya asili..[emoji2321][emoji2321][emoji2321][emoji2321][emoji2321]
 
Kigezo chako awe anapenda utani, nyege sio nzuri sikilimbikizwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom