Sungura dume
JF-Expert Member
- Mar 28, 2016
- 571
- 527
All the best mkuuUmekua domo zege kwa miaka 28 ..hongera mkuu [emoji41]
Download app inatwa Badoo au Hi5 kule ni kumsukuma mlevi huna haja ya kujisifia saana hela yako tu unapata mke wa level uitakayo.Habari za mida wadau!! Mimi ni kijana umri miaka 28!! Mchaga!! Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mama watoto wangu!! Awe ameajiriwa, awe ana aidia ya kufanya biashara!! Asiwe mrefu sana awe wastani, sio wale wa mikorogo!! Age 25-30 kabila lolote!! Kwa maelezo zaidi karibu pm