Natafuta mchumba, rafiki wa kike

Natafuta mchumba, rafiki wa kike

O
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Ila wadogo zangu Depal na Darlin msiwe mnakaa sehemu moja tafadhali sana, yaani mnakuwa maandazi typically...!!
Ni huyo mdogo wako
Anataka kunipeperushia njiwa wanguπŸ˜’
Ongea nae maana anapoelekea tutaonana wabaya bureπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Emu tulia tukubadilishe na ng’ombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Babe wangu amesema anatoa ngamia
Ili awafunge midomo vizabina zabina kama weweπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„, maskini Uzi umeingia mchanga
 
Mimi ni Mwanaume miaka 28 mkazi wa Dar es Salaam natafuta mchumba

Mimi ni mtumishi wa serikali, mwanamke awe mkazi wa Dar umri 25 kushuka chini asiwe na mtoto elimu yake kidato cha nne na kuendelea awe mkristo
Awe mweusi,mweupe vyovyote ...
Awe mchangamfu [emoji1]
Karibu PM kama uko interested
duh mi ni mpoleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom