Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 31,nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili.elimu yangu ni shahada ya pili ninaishi dar. Ninatafuta mchumba hatimaye awe wangu wa milele,nimpende anipende awe tayari kumkubali mwanangu kama wa kwake.
Awe na sifa zifuatazo;
Mrefu mwenye mvuto,
Awe mkristo anayependa kusali na mwenye kumuogopa Mungu,
Awe mwenye mapenzi ya dhati na sio macho juu juu,
Awe mwenye kukosoa panapohitaji kukosoa na sio kukaa na gubu na kutafuta suluhu nje,
Awe mwenye elimu angalau degree moja kama si mbili,
Awe mpenda maendeleo na mwenye kuona mbali hata kama hana kitu,
Awe muwazi na si muongo,
Awe muelewa na mwenye kujali.
Kama uko serious ni-pm tuone kama tuta-cope na Mungu aweke mkono wake.
Nawashukuru na kuwatakia weekend njema.