Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809
Asanteni wote mlioonyesha kuwa positive na post yangu. Be blessed.
nijibu pm yangu basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteni wote mlioonyesha kuwa positive na post yangu. Be blessed.
huyo aliekuzalisha yuko wapi?
inaonekana wewe mtata,
itakua imekula kwako, japo natafuta siko radhi
life is not as straight as it seems my dear. just a polite advice; never judge a person you hardly know,for you do not know what's behind the ID. Thank you for your contribution anyway.

Koma!! Wa kihivyo hakunaga.dizain mchaga.
Mmeanza mautani ee??ningehitaji kabila kwenye hizo sifa ningesema sioni sababu ya kusema kabila langu pia.
kamanda si uwaambie tu hao akina MODS wakuhamishe na mazaga zaga yako ktk hii nyumba mpya? manake wanakudhalilisha kukufanya jonior member namna huyuaarrrrrrrrghhh. yani hiyo sifa ya mtoto tu ndio nimekukosa tayari.